CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
477
Naomba kutoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA kupeleka vuguvugu la mabadiliko Zanzibar, CUF washajiishia huko maana watu hawajui hata mlengo wa chama , ni wakati wa kwenda kuzindua M4C sasa mpaka kieleweke

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
CHADEMA ni chama cha Kaskazini.
 
Chadema ni chama cha Kaskazini.

Taratibu mzee wakikusikia Nape na Kinana ................. !!!!

Hivi hujui tuna uchaguzi wa madiwani kule Arusha na Monduli? Mbona unataka kuharibu kampeini zetu.

Hizi propaganda za U-Kasikazini huwa tunazitoa tukiwa kanda nyingine, tena wakati huo tukiwa hatuna uchaguzi Kasikazini. Please mkuu kwa sasa sitopisha hiyo SINGLE itakula kwetu.
 
Labda kama wataenda kwa basi lakini kama kwa kutumia meli watatosa majini walivyo na usongo nao.
 
CHADEMA jiandaeni kumwagiwa tindi kali
 
Jamani naona mmekomenti kwa hisia sana. Kwani hawawezi kufanya hivyo? Si kuna wanachama kule jamani! Mi naomba we unaekataa wasipeleke M4C utoe hoja ni kwanini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa


Zitto, Mnyika, Wenje, Lisu, Mdee, Sugu, Heche, Marando, Mkumbo, Prof Safari Bananga au Prof J, wote hawa ni wa marangu, machame au kibosho kama unavyosema?

Kuwa makini
 
hatutaki vurugu zenu. hamna jipya mtokuja nalo
 
CDM kije zanzibar ili iweje? Ah jamani mbona mnavituko nyinyi? Kwanza tunawashukuru CDM kuwafumbua watu macho kuwa CUF ni miongoni mwa wanaosapoti ushoga, lakini bila kusahau kuwa na wao CDM kuwa ni supporter wakubwa wa Ushoga tena pia wanajanga jengine la udini (makatoliki). Bora tubakie kuitwa magaidi, boko haram, boko halali, materrorist kuliko kuja kutawaliwa na Makhanit.hi ya CUF na CDM na mikatoliki!!! Kaeni uko uko kwenu Tanganyika mgeuzane maliberali na macameron!
 
Tatizo zanziber wanajikuta waarabu sana, ngoja warudishwe utumwani tena halafu waje waombe tuwasaidie..
 
Kwa sasa wazenji hawana shida na upumbavu wa vyama,kilichopo mbele yao ni mamlaka kamili ya nchi yao yaliyoporwa na mkoloni mweusi,jamhuri ya watu wa z'br kwanza.
 
unayo habari? Je umesahau? ni wazanzibari, wapenda nchi yao, wazalendo, wanaharakati, wana kindakindaki na wale wanaosema kwa yakini ya mioyo yao na kuthibitisha kwa vitendo vyao mapenzi makubwa ya nchi yao. Wale wanaoamini kwamba “vyovyote na iwe lakini Zanzibari ibaki huru yenye mamlaka yake kamili”. Umma huo utakusanyika kesho Jumamosi tarehe 01/06/2013 katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti. Uwanja wa Kibanda Maiti utageuka “Tahrir Square” ya Misri na kuudhihirishia ulimwengu kwamba wazanzibari kwa amani kabisa wanataka mamlaka kamili ya nchi yao tukufu. Unamuogopa nani ewe mzanzibari? Ogopa nchi yako kuendelea kuwa chini ya ukoloni. Hapa ni Zanzibar kwanza, itikadi ni baadae. Viongozi mbali mbali wa vyama mbali mbali wazalendo wenye uchungu na nchi yao wanatarajiwa kuhudhuria.
Shime wazanzibari tujitokeze kwa wingi. Mambo yataanza saa 2:00 za asubuhi mpaka saa 12:00 jioni. Mgeni Rasmi ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI
ZANZIBAR KWANZA!
 
haina haja kuwekeza nguvu zanzibar muungano upo ICU haufiki 2015 kuna haja gani kupoteza muda na resources? hizo nguvu zielekezwe mtwara, lindi, ruvuma, pwani, tabora, dodoma, tanga!
 
chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa

Unadhani huo ujinga wao wakifika zanzibar wataufanya??wazanzibar hawataki upuuzi tena,wala hawana taim tena ya kujadili vyama waliyowapata yanatosha,walitiwa chokochoko weeee wakauana saivi wamegutuka hawana taimu na ujinga,km hawajitaki waende waone km hawatarejea na makoti mkononi,hongereni wazanzibar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom