Katika vyote unafanya katika ulimwengu jaribu kupima wangapi wapo upande nawe ukiona katika 10 wamebaki wawili tu na hao sababu wananufaika na wewe rudi utengeneze
Kiburi kilimfikisha Hitler pale alipo ijapokuwa alikuwa na mtazamo na propaganda nchi kwanza hakawa hashauriki kila kitu anajua yeye leo tunaona legacy alioiacha
Maendeleo yake ndani ya miaka 6 yaliigharimu ujerumani kwa zaidi ya miongo minne