Chadema pekee ndio chama kimeghalimika na Watanzania kwa sasa

Pearce

Pearce

Member
Joined
Dec 15, 2018
Messages
66
Points
125
Pearce

Pearce

Member
Joined Dec 15, 2018
66 125
Wakati nchi kuna upungufu wa ajira ni Chadema na baadhi ya viongozi wasema kweli wachache CCM wamejitokeza kutetea kundi la vijana.

Wakati kumekuwa mtikisiko wa kiuchumi imebaki Chadema na Zitto kabwe wanaozungumzia uhalisia

Wakati watu wanatekwa na kupotezwa au kuumizwa ni mpaka sasa wengi wahanga ni watu wenye mawazo tofauti na mengi wanayosemea ndio uhalisia wa maisha

Ukombozi una gharama inaonekana na sio propaganda za kwenye makaratasi

CCM ya thamani ni ile ya kwenye Historia ni wakati sasa umefika wa mabadiliko
 
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Messages
1,227
Points
2,000
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2017
1,227 2,000
Africa is for Africans, Tulimtaka kiongozi aina ya Magu na Mungu katupatia. We thank you God
 
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Messages
1,227
Points
2,000
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2017
1,227 2,000
Whatever bro, hii ni vita ya maendeleo, yaani lazima rejects wawepo. Kama kijana nasimama na Rais wangu JPM mpaka 2025.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
90,108
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
90,108 2,000
He is a total FAILURE and a DISGRACE to our beautiful Country. Don’t deserve to be SH even for one second.

Whatever bro, hii ni vita ya maendeleo, yaani lazima rejects wawepo. Kama kijana nasimama na Rais wangu JPM mpaka 2025.
 
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Messages
1,227
Points
2,000
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2017
1,227 2,000
As a country we still have a lot of projects to run, your noises have never been a major hindrace to us.
 
Pearce

Pearce

Member
Joined
Dec 15, 2018
Messages
66
Points
125
Pearce

Pearce

Member
Joined Dec 15, 2018
66 125
Its ok Tundu Lissu ndio anaielewa.
Katika vyote unafanya katika ulimwengu jaribu kupima wangapi wapo upande nawe ukiona katika 10 wamebaki wawili tu na hao sababu wananufaika na wewe rudi utengeneze

Kiburi kilimfikisha Hitler pale alipo ijapokuwa alikuwa na mtazamo na propaganda nchi kwanza hakawa hashauriki kila kitu anajua yeye leo tunaona legacy alioiacha

Maendeleo yake ndani ya miaka 6 yaliigharimu ujerumani kwa zaidi ya miongo minne
 
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Messages
1,227
Points
2,000
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2017
1,227 2,000
Hizi kelele ni kawaida ziwepo, kati ya watu milioni 55 hamuwezi kua na mtazamo mmoja.

mimi nimekuja na facts......sahihi wewe ndo unakelele sababu unazungumza bila vielelezo .....ni aina ya wale wanaitwa bendera fuata upepo
 
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Messages
1,227
Points
2,000
sikongefdc

sikongefdc

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2017
1,227 2,000
Hakuna facts hapo, rudi shule.
mimi nimekuja na facts......sahihi wewe ndo unakelele sababu unazungumza bila vielelezo .....ni aina ya wale wanaitwa bendera fuata upepo
 
Forum statistics

Threads 1,295,922
Members 498,479
Posts 31,228,141
Top