CHADEMA 'Pasua kichwa' UKAWA

CHADEMA 'Pasua kichwa' UKAWA

TURUFUDUME

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
70
Reaction score
39
CHADEMA kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA, hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya CHADEMA kutaka kitoe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavyo vimetaka aidha CHADEMA watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitoe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya CHADEMA na Cuf, CUF watowe rais na makamo wake, CHADEMAa kitoe wabunge wengi ili kijekitoe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo CUF wapo tayari kwa hilo lakini CHADEMA hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote.

Swali: Je, viongozi wa CHADEMA na wafuasi wake hio ni haki?

MZEE WAKENGEJA Pemba .
 
Kwenye uongozi na mgawanyo wa madaraka imani na umoja huteteleka.....movie ndio imeanza ngoja nijaze luku
 
Mimi naiona proposal nzuri sana kwa kuwa chadema kina nguvu majimboni kitaweza kumbeba lipumba katika urais kwa kuwa kura zitatoka Chadema, Jamani hebu kubalkaneni tuivue CCM nguo kwa mara ya kwanza huko baadae tukija kugombana sawa tu kwani urais unakazi gani ya maana kama kuna waziri mkuu shupavu?
 
Chukuwa gwara a.k.a 5, umenielewa vya kutosha broooooooooooo.
 
Cuf itoe rais na makamu,...........kuliko hivo chadema wajitoe ukawa tuone hao viburi watafika wapi.
chadema imekuwa na operation nyingi mno,ina wabunge wengi,,,,halafu leo cuf watoe mgombea urais na makamu?

kama hivo heri kutengana chadema tunajiamini.

Yaani ukawa tukizingua tutapotea,kumbukeni mkizingua wafuasi huko kwingine magufuli anauzika
 
Mimi naona aende kivyake . Kwani sheria vyama na uchaguzi haikuweka mazingira ya vyama kufanya kazi pamoja.
 
Chadema kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya chadema kutaka kitowe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavo vimetaka aidha chadema watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitowe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya Chadema na Cuf, cuf watowe rais na makamo wake, chadema kitowe wabunge wengi ilikijekitowe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo cuf wapo tayari kwa hilo lakin Chadema hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote, .Matusi sitaki usiniulize akanambia nani, swali je viongozi wa chadema na wafuasi wake hio ni haki? MZEE WAKENGEJA Pemba .

Bolded.........

Naona unahara kama bata mwenye utapiamlo halafu unajihami kwamba usitukanwe..!!! Hivi umeandika nini??

BACK TANGANYIKA
 
Ndoaana huwa nasema upinzani bado sana kuja kukamata dola, wenzao sisiemu wanakuwa kitu kimoja ktk muda nyeti wao wanagombania nani awe mgombea urais, wakija shtuka 2016 hiyo, Magufuli yuko magogoni!
 
Chadema kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya chadema kutaka kitowe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavo vimetaka aidha chadema watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitowe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya Chadema na Cuf, cuf watowe rais na makamo wake, chadema kitowe wabunge wengi ilikijekitowe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo cuf wapo tayari kwa hilo lakin Chadema hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote, .Matusi sitaki usiniulize akanambia nani, swali je viongozi wa chadema na wafuasi wake hio ni haki? MZEE WAKENGEJA Pemba .

Yaani unaandika paragraph nzima bila nukta. Hivi ulisoma punctuation? Any way, naona hii ni product ya division five na gpa ya 0.3
 
duh&! hii prosal ngumu sana.
yaani watu wana mbunge mmoja tu Tanganyika aafu wanataka wawe jeuri!!
 
Chadema kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya chadema kutaka kitowe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavo vimetaka aidha chadema watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitowe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya Chadema na Cuf, cuf watowe rais na makamo wake, chadema kitowe wabunge wengi ilikijekitowe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo cuf wapo tayari kwa hilo lakin Chadema hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote, .Matusi sitaki usiniulize akanambia nani, swali je viongozi wa chadema na wafuasi wake hio ni haki? MZEE WAKENGEJA Pemba .

Cdm mwaka huu itawafanya mjifungue kabla ya wakati.
 
Cuf itoe rais na makamu,...........kuliko hivo chadema wajitoe ukawa tuone hao viburi watafika wapi.
chadema imekuwa na operation nyingi mno,ina wabunge wengi,,,,halafu leo cuf watoe mgombea urais na makamu?

kama hivo heri kutengana chadema tunajiamini.

Yaani ukawa tukizingua tutapotea,kumbukeni mkizingua wafuasi huko kwingine magufuli anauzika

Ukawa washamaliza kazi tangy Jana saa tisa,kinachosubiriwa ni kutangaza 14.7.2015
 
Back
Top Bottom