Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Katika kundi ambalo linastahili kuingizwa katika maajabu ya dunia ni wafuasi wa CHADEMA na uongozi wao. Baada ya uchaguzi wa kwanza kuisha kwa Masha na Wenje kutoswa waliapa kutoshiriki uchaguzi kwa dhumuni la kukwamisha wabunge toka Tanzania ''wasiapishwe'' na wakati huo huo ''waliapa'' kwenda mahakamani kufungua kesi ya kikatiba ili kuzuia uamuzi wa bunge.
Haya yaliishia wapi? Nakumbuka Mbowe na Mdee walitokwa povu kiasi cha kutukana lakini kwetu sie tunaowajua tulijua 'viapo, matusi na kejeli' sio waobali vinatokana na ''vitu walivyotumia' hivyo kukosa staha, Spika wa Bunge Mh.Job Ndugai aliwachagulia adhabu kali ya kuwasamehe. Ni dhahiri sasa hakuna msimamo na wala hakuna kumbukumbu ya hoja za msingi, wamekuwa shaghala baghala.