CHADEMA officially ni CCM 'B'

Mtu anao uhuru wakujiunga chama chochote akipendacho HIYO kauli ya MAKAPI ni kauli ya mkosaji,kwani mkiwaita jina zuri watapungukiwa nn,hapo ndio mnaonyesha kuishiwa hoja,haina haja ya kupaniki ustaarabu ni muhimu

Makapi kwa sababu wote wanatoka baada ya kukosa kura za kutosha katika nafasi walizoomba,kuanzia udiwani mpaka urais.
 
yani jinsi nnavowachukia ccm ata wewe mugisha ukigombea urais kutumia chama cha chako cha CHAWAPUTA(chama cha wapiga puchu Tanzani) mimi ntakuchagua wewe against CCM

Nawe tulia sasa! Avatar safi, lakini unaandika kwa kusita sita na kufanya habari isimuingie muhusika. Tulia kabisaaaa!!
 
CUF ktk ushirikiano wao na ccm walikuwa wanatekeleza ilani ya CUF au CCM?.

Hawa waliohamia CDM wamepewa nafasi ipi ktk CDM tofauti na EL, Lembeli na Bulaya?.

Chama hakikatai wanachama kaka na ninakuomba ufurahie kukua kwa chadema na kuanguka kwa ccm
 
Duh! hata wewe umebanduka,mimi nilijua labda hadi ubanduliwe na Nape.
Inaonekana u mpenzi wa kubanduliwa, ndio maana mwanzo ulijiita , P.U.M.B.U MAJARIBU, Ila moderators wakaona si busara wakafupisha!
 
Palikuwa name mfalme mmoja jima lake aliitwa farao mfalme Hutu Mungu Alimuagiza awaachie Israel wakamtumikie lakn akawa mbishi, Mungu akamuonyesha uweza wake ili awaachie wanna Israel lakini hakuwaachia japo adhabu ya Mwisho alikibal kuwaachia wanna Israel. Baada yakuwaachia kuondoka jamaa akatafakari akasema ngoja niwafuwate kumbe ndio ilikuwa kiama chao wrote wakazama ndano ya maji. Inawezekana Munguameweka moyo mgumu ndani ya lowasa ili anguko lla Mwisho ndani ya ukawa asisimame tena... Pole3
 
Habari yako inaweza kuwa kweli kabisa. Wakati kama huu sasa Mungu hujinyanyua ili kuonyesha yeye ndiye superpower. Na nadhani sasa baada ya utabiri wa Mwl Nyerere mara ya kwanza mwaka 1995, utabiri wake sasa utatimia mwaka huu. Maana aliambiwa akaendelea kuwa mbishi. Anguko la shetani laja tujiandae
 

Bado unaamini katika mizimu?
 
Mjinga mpuuze. Maana kusoma hajui, lakini hata akiona picha anajifanya mpofu.
 
ccm walichobaki nacho ni kutegemea kubebwa na vyombo vya dola tu basi. hawana jingine
 

Oct anaingia mpangaji mpya kutoka monduli. Tulieni dawa ingie.
 


Haunaga point kabisa. Yaani hata wenyeviti wa mikoa wa CCM leo unawaita hawana maana?? Nasema haunaga point kwa sababu umeshindwa kutambua kuwa hawa si viongozi wa Chadema bali ni wanachama na kinachohitajiwa ni KURA zao tu muda utakapofika. Kuna multiplying effect hapa. Hawa wakiweza kupata mtu mmoja mmoja, Chadema itapata kura angalau 6. Na ndio ambazo CCM itakuwa imezikosa!! Hivi kweli unashindwa kuona jinsi hawa wenyeviti watakavowahujumu?? Kweli Mugisha (Mugisher)???

Uchaguzi ni maswala ya wingi wa kura!! Siku ukija kuelewa hivo, CCM yako itakuwa imetupwa nje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…