CHADEMA officially ni CCM 'B'

Kama CHADEMA ni CCM B

Basi CCM ni CHADEMA D!

Bora CHADEMA original kuliko CHADEMA D (CCM)
 
Ikiwa mtu anahamia mahali fulani na kwa ajili fulani tu na sio sera sahihi basi akihama atakuwa amehama kwa manufaa tu na akienda kule ataenda na yake na kutaka kubadili mambo ya kule alipokwenda na sio kufanya matakwa ya chama husika....hivyo wabunge waliohamia kipindi hiki ndio hao...
Hii sio mimi bali ni sayansi tu ya kawaida...na wote hao watakuja kuwa chadema ileee ya kina mh. Shibu....kukubaliana tena kwa maswala fulani hakutakuwepo...tusubiri wala sio muda mrefu
 
Haa kumbe tangu uingie Jamii forum una kamwezi sasa sikujua, Siyo mbaya endelea kujifunza. Ukishajifunza tutakukaribisha kwenye mijadala ya mizito ya maslahi ya taifa siyo haya unayotumwa na wenzako huko nje.
Join Date : 11th July 2015
Posts : 125

Rep Power : 330

Likes Received
98
Likes Given
24
 
Mwaka Huu Mtazungumza Kila Lugha Lakini Ccm Lazima Itoke Madarakani.
 
CCM B, yes! tena ajabu kuna mweu mmoja wa sikonge anaitwa Nkumba huyu ni bomu jimbo zima anafahamika, mwaka. 2010 alinunua ushindi kwa Cuf ..yaani hajiwezi kabisa, pale jimboni kwake wakati wenzake wanawekeza kwao yeye kaenda kajenga klabu ya muziki basis ..hajawahi kufanya chochote hata kuwasaidia ndugu zake zaidi ya uchawi na visasi, sasa nashangaa eti naye leo kaenda CDM, CDM imegeuka kuwa kama wale wasichana wanaitwa jamvi la wageni yaani kila mtu akitaka pia tu kwake, hii ndo CDM ya leo ilikofika, wamefungua madirisha yote sahivi inaingia kila aina ya hewa na kila aina ya uchafu ..hongereni CCM B kwa kukibadirisha chama chenu ila mtarajie adhabu pia.
 
yani jinsi nnavowachukia ccm ata wewe mugisha ukigombea urais kutumia chama cha chako cha CHAWAPUTA(chama cha wapiga puchu Tanzani) mimi ntakuchagua wewe against CCM
 

Unajiaibisha mhaya gani wewe,utawabeba hao ma ccm hadi kibiongo kitakutoka mwaka huu
 
 

Attachments

  • 1439476661529.jpg
    30.7 KB · Views: 53
  • 1439476694303.jpg
    39.1 KB · Views: 50
yani jinsi nnavowachukia ccm ata wewe mugisha ukigombea urais kutumia chama cha chako cha CHAWAPUTA(chama cha wapiga puchu Tanzani) mimi ntakuchagua wewe against CCM

Ccm ni chanzo cha kichefuchefu
 

Mkuu hivi nkumba yuko wapi maana sijamsikia kabisa!
 

Tunachohitaji ni kuing'oa ccm madarakani tu,na jiandae kutawaliwa na rais lowasa
 

Wewe unawakilisha wengi huku pamoja na MchambuZI ambao hamna CONTENT kwenye like mnachoandika.
 

Imekula kwako hiyo cdm hiypoooooooooooooooo
 
Mugisher chama cha siasa ni wanachama.....
kuna takataka milioni nyingi tu CCM, nyingiii sanaaa, naona huzioni
 
Last edited by a moderator:
We mwenyewe kilaza,kasome political science.upinzani huwa unaanzia ndani ya chama ukija nje nikudhilisha kilicho kuwa ndani.kama kusingekuwa na matatizo ndani upinzani uliopo ungekuwa dhaifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…