Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,502
- 86,050
Hebu kunywa maji, una haraka gani? Twende taratibu, hili andiko umelisoma? Tuanzie hapa, wala usipaniki!Mungu nyie mnae? Waongo, wachonganishi, wazandiki na kila sofa mbaya mnayo, Mungu mumtoe wapi nyie, huna hata aibu ww, Mungu kaagiza mtii mamlaka husika nyie mnatii nn?