Karata yangu naitupa kwa Raila Amollo Odinga wa muungano wa CORD.
Lakini hali inavyoonyesha kutakuwa na duru ya pili ya kura.
Hii ni porojo usitake kuchagulia watu upande na kuleta uchonganishi wa mahusiano mabaya kwa Nchi zetu za Africa Masharika kisa fikra zako za U-CHADEMA na UCCM!
Nimekutana uso kwa uso na Mzee wa Tembo aka mjuzi wa kupika matokeo Mzee Kinana yupo hapa Nairobi kama msimamizi wa kimataifa!!! Sijui kama atamsaidia Uhuru mbinu za wizi wa kura, lakini ukweli mambo ni magumu na si rahisi kusema nani ataibuka mshindi kati ya Uhuru na Laila. Misururu mirefu imeanza kupungua sasa, hii ikiashiria kwamba wengi tayari wamepiga kura mpaka sasa!!!
Tiba
Kwani kuna ubaya gani kwa Chama fulani kuunga mkono chama kingine cha siasa katika nchi ya jirani? Au kuna ubaya gani kwa wachunguzi wa mambo wakatoa tafsiri ya hali ya mambo ilivyo ktk ukanda wa Afrika Mashariki? Tz, Kenya Uganda ziko EAC, sasa kuna ubaya gani kuzihusianisha harakati za siasa za vyama hapa East Africa Community. Hofu yangu ni kwa Hiki Chama Cha Magamba (CCM) kumchafua Kenyatta kwa propaganda za Ufisadi na uporaji wa mali za umma. Kama Uhuru anasoma thread hii basi akae mbali na hiki Chama cha Mabwepande (CCM)! Asije akachafuka bure!
Mkuu, umempa ushauri mzuri Kenyatta na jamii yake ambao aliwaita mashetani wakati anaelezea sababu ya kumnyima Mudavadi nafasi ya kugombea kupitia Jubilee Coalition wakati alishasaini makubaliano. Kenya inahitaji uchaguzi ulio huru na wa haki ili kuleta utawala wa haki. Ujanja wa ki-CCM itaifanya Kenya iwake moto kila mahali.
CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
Yericko, ninachoona hapa ni ushabiki wenye kiherehere, kwani Uhuru akikaa mwaka mzima hapa mana yake Chama Tawala kinamuunga mkono, Hata ivyo masuala ya uchaguzi yanalindwa na sheria za kimataifa za kidiplomasia, si CCM wala Chadema au Chama chochote kinaweza kushiriki actively au passively kwenye mambo km haya. Hatari yake ipo wazi. Sijui ma-moderators wa JF wapo wapi kuruhusu hoja kmm hizi, au ni kwa vile wanaona unatumia ubini wa Nyerere?Uhuru kaja tz kakaa zaidi ya wiki mwezi uliopita, au hilo hujui ila unajua ubishi tu?
Kwa maoni yangu binafsi, kama Wakenya hawataki vurugu baada ya kutangazwa kwa matokeo, basi inabidi Laila ashinde uchaguzi huu. Vinginevyo wajaluo ambao ndio wenye fujo nchi hii, hawatakubali matokeo mengine yoyote. Itabidi serikali ijipange vizuri kupambana na challenges endapo Laila hatatangazwa mshindi. Hawa jamaa wana fujo sana you can imagine hata timu yao ya Gor Mahia ikishindwa, wanafanya vurugu.
Hapa sio sulala la kuomba Mungu, ni serikali kujipanga kupambana na wajaluo endapo Laila atashindwa kuchukua kiti cha Urais.
Tiba
Yericko, ninachoona hapa ni ushabiki wenye kiherehere, kwani Uhuru akikaa mwaka mzima hapa mana yake Chama Tawala kinamuunga mkono, Hata ivyo masuala ya uchaguzi yanalindwa na sheria za kimataifa za kidiplomasia, si CCM wala Chadema au Chama chochote kinaweza kushiriki actively au passively kwenye mambo km haya. Hatari yake ipo wazi. Sijui ma-moderators wa JF wapo wapi kuruhusu hoja kmm hizi, au ni kwa vile wanaona unatumia ubini wa Nyerere?
Tuombe Mungu, Odinga atashinda tuKwa hali inavyoendelea kwa sasa naona Wakenya wameamua kwa dhati kupiga kura ya ukabila wa waziwazi, Wakikuyu Vs Wajaluo. Kwa uwingi wa wakikuyu nchini Kenya ni dhahiri Kenyatta anashinda uchaguzi huu! Kwa sasa saa 9.53 P.m., Kenyatta (650,000) Odinga ni 450,000.
Jidanganyeni tu, huu ndio mchezo wa siasa na tupo kwenye jukwaa la siasa.Mkuu unachosema ni sahihi kabisa.
Kuna vi thread vya kipuuzi vingi sana vinavyoashiria kuwa watu hawana mambo ya msingi ya kujadili.
Wakenya wanaofuatilia thread hii wataona upuuzi umejaa hapa.
Acheni danganya toto chezeni siasa za kimataifa kwa karata safi,Yericko, ninachoona hapa ni ushabiki wenye kiherehere, kwani Uhuru akikaa mwaka mzima hapa mana yake Chama Tawala kinamuunga mkono, Hata ivyo masuala ya uchaguzi yanalindwa na sheria za kimataifa za kidiplomasia, si CCM wala Chadema au Chama chochote kinaweza kushiriki actively au passively kwenye mambo km haya. Hatari yake ipo wazi. Sijui ma-moderators wa JF wapo wapi kuruhusu hoja kmm hizi, au ni kwa vile wanaona unatumia ubini wa Nyerere?
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,
Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.
Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,
Ikiwa ni hivyo tayari ccm na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.
Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)
Karata yangu naitua kwa CHADEMA.
Tuombe Mungu, Odinga atashinda tu
Mungu gani? Umeandika habari za siasa za Kenya bila kuzifahamu.
Hujui Odiga anagombea kupitia chama gani hujui Kenyatta anagombea kupitia chama gani.
Chadema mtapata aibu kwa kushabikia vitu bila ufahamu.
Rais wa KENYA ni KENYATTA.