isaac vitalis shirim
Member
- May 15, 2013
- 14
- 2
Nilifikiri Chadema Wakorofi Bungeni tu! Kumbe hata Hotelini..! Jana Wakiwa wanakula! akaanza (Wenje) Mwongozo wa Hotel, chumvi haitoshi..Mnyika: Taarifa Mheshimiwa! Mchuzi unaonekana wa Jana siungi Mkono Hoja ya Kulipa Chakula hiki.Tundu Lisu: kanuni ya 17b kifungu cha 1,C Niliagiza kuku wa kienyeji Nimeletewa kuku wa kisasa silipi,,Zito: Tume iundwe kuchunguza kama kweli mchele huu ni wa Mbeya..!Duuh! Chezea CHADEMA wewe