CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

yaan uwe na imani usiwe na imani chadema ndo hiyoooo..... mwendo mdundo, halafu we mmoja nini? wakat maelfu yanakuja vile vile hata ukiipigia kura chadema lazma kura yako itaharibika, kitu kingine chama kinaongozwa na katiba ya chama kwahyo katiba ikiwa mbovu ya kulindana wote mtakuwa wabovu, mwisho kabisa kimwingicho mtu sio najisi bali kimtokacho.....
 
njaa yetu ni kuiondoa ccm madarakani sio lingine ni kubadilisha mfumo dola na tutatumia silaha yoyote kuitoa ccm madarakani
 
CDM imekabidhiwa kwa wazee wa chain rasmi ..hapa EL pale Rostam, huku Karamagi kule Chenge ..mamaaaa! CDM mmesahau kwamba tamaa haijengi kamwe na asiri ya mtu ni kama ngozi, sisi watanzania tunajitambua sana na tunaelewa pia, mmekaa mkapanga na mkaelewana kwamba ntaweza kutulaghai na huu uhuni lakini mmebugi sana ..tunajua cha kufanya na tutawaonesha kwamba Tz ya leo siyo ya mbwembwe, siyo ya zilipendwa, hatuchagui chama tena Bali tutamchagua aliye msafi
 
Mtu afuatilie toka post zangu toka toka nijiunge JF miaka karibia saba sasa sijawahi kuiponda chadema!! lakini kwa upuuzi huu wa eti kuangalia wingi wa mashabiki wa Lowassa waliopatikana kwa mbinu za kifasi, nieishusha thamani kabisa chadema!! Kumbe hawana akili kabisa!! Wametuchezea sana, wametutia aibu sana, wametudhalilisha sana watu tunaowaunga mkono..kwa bidii ikiwa hata kwa maombi ili wafanikiwe kumtoa mkoloni mweusi!! LAKINI KWELI WAMEKENGEUKA KIRAHISI HIVI!! Watanzania tumekosa nini kwa Mungu!!
 
Nimeona nichukue fursa hii kutoa yangu ya mayoni ambayo yamekuwa yakinikereketa sana tangu hizi fununu za kumkaribisha waliyekuwa wakimuita mwizi,fisadi na mla rushwa mkubwa aliyeisababishia nchi yetu hasara ya mabilioni ya shilingi bwana Edward lowasa.

Ni nani leo hii atakaye simama jukwaani na kuoshea vidole tena wala rushwa na mafisadi tukamuamini,au mtu anakuwa mwizi na fisadi kwasababu yuko chama kingine,leo hii nimeamini hakuna mzalendo kutoka chadema ambaye anasema kweli anataka kuliokoa hili taifa.

Nilimsikiliza sana bwana mbowe na hotuba yake ya kisiasa kama yeye alivyosema anaishi kisiasa kweli siasa si uzalendo.

Yaani kisa umaarufu wa Lowassa basi mmekubali kukidharirisha chama na kuonesha ukweli wa mioyo yenu kumbe mlikuwa mnawaadaa wanatazania na kelele zenu za majukwaani.

Kwani si ninyi mliomshambulia lowasa na kuipongeza serikali ya CCM kwa kumuajibisha Loawasa na mkaipongeza kamati ya mwakyembe tena mkiendelea kushinikiza apelekwe mahakamani.

Iko wapi aibu yenu leo hii yale mliyoyatapika mumegeuza kuwa mlo wenu mtakatifu.

hakika nawapongeza sana CCm kwa kuona nchi haiwezi kuongozwa na mwizi,mla rushwa na fisadi,mkamkata na matokeo yake tumeona sera za CHADEMA ni kukumbatia watu wa namna hii.

Hapa hiki chama hakijapata kushika dola wanakumbatia mafisadi namna hii je kikipata si tutapelekwa kuwa watumwa.

mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie haya maneno pure man anamwaambia ninyi watazania.

Bahat mbaya sana umeyasema haya huku hujawahi kuwa na dhamira njema na chadema hata siku moja. Wewe ni ccm unafahamika na hakuna siku moja uliwahi kutoa support kwa maamuzi ya CHADEMa. Huu uwongo kwamba sasa huwaamini uantoka wapi? Uliwaamini lini?

Hii kazi ni ya nyoka na si ya binadamu.

Wewe kama ni ccm furahia tu kwamba CHADEMA wamebugi stepu sasa ccm inaishi milele magogoni.

  • Send PM

  • user-offline.png
    pure man

    27th July 2015 11:54
    Senior MemberArray

    Join Date : 10th March 2015
    Posts : 150
    Rep Power : 351
    Likes Received38
    Likes Given25

    [h=2]
    icon1.png
    Hatimaye Lowasa ajadiliana na ukawa angalia picha.[/h]
    Kila rakheli nenda kawaibie na huko CCM hatukutaki​
    paperclip.png
    Attached Thumbnails

CDM imekabidhiwa kwa wazee wa chain rasmi ..hapa EL pale Rostam, huku Karamagi kule Chenge ..mamaaaa! CDM mmesahau kwamba tamaa haijengi kamwe na asiri ya mtu ni kama ngozi, sisi watanzania tunajitambua sana na tunaelewa pia, mmekaa mkapanga na mkaelewana kwamba ntaweza kutulaghai na huu uhuni lakini mmebugi sana ..tunajua cha kufanya na tutawaonesha kwamba Tz ya leo siyo ya mbwembwe, siyo ya zilipendwa, hatuchagui chama tena Bali tutamchagua aliye msafi

CDM wanazani watanzania wajinga sana,hawajajua watz wanamaanisha kwamba wanataka mabadiliko.walijua wanaipenda CDM kwasababu ya mbowe au dr.slaa au lissu.nooooo hapana walijua ni chama ambacho kinachukia ufisadi lakin hali sio hiyo leo wamejieleza vizur sana.nalumbuka niliwai sema hapa simuoni msafi ndani ya chadema na wananchi wasimame hapo walipo maana kuna uafadhari zaidi.hawa bado hawajashika dola je wakishika dola si itakuwa balaaaaa
 
Nimeona nichukue fursa hii kutoa yangu ya mayoni ambayo yamekuwa yakinikereketa sana tangu hizi fununu za kumkaribisha waliyekuwa wakimuita mwizi,fisadi na mla rushwa mkubwa aliyeisababishia nchi yetu hasara ya mabilioni ya shilingi bwana Edward lowasa.

Ni nani leo hii atakaye simama jukwaani na kuoshea vidole tena wala rushwa na mafisadi tukamuamini,au mtu anakuwa mwizi na fisadi kwasababu yuko chama kingine,leo hii nimeamini hakuna mzalendo kutoka chadema ambaye anasema kweli anataka kuliokoa hili taifa.

Nilimsikiliza sana bwana mbowe na hotuba yake ya kisiasa kama yeye alivyosema anaishi kisiasa kweli siasa si uzalendo.

Yaani kisa umaarufu wa Lowassa basi mmekubali kukidharirisha chama na kuonesha ukweli wa mioyo yenu kumbe mlikuwa mnawaadaa wanatazania na kelele zenu za majukwaani.

Kwani si ninyi mliomshambulia lowasa na kuipongeza serikali ya CCM kwa kumuajibisha Loawasa na mkaipongeza kamati ya mwakyembe tena mkiendelea kushinikiza apelekwe mahakamani.

Iko wapi aibu yenu leo hii yale mliyoyatapika mumegeuza kuwa mlo wenu mtakatifu.

hakika nawapongeza sana CCm kwa kuona nchi haiwezi kuongozwa na mwizi,mla rushwa na fisadi,mkamkata na matokeo yake tumeona sera za CHADEMA ni kukumbatia watu wa namna hii.

Hapa hiki chama hakijapata kushika dola wanakumbatia mafisadi namna hii je kikipata si tutapelekwa kuwa watumwa.

mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie haya maneno pure man anamwaambia ninyi watazania.

Mbona nimesoma comment na post zako za nyuma hijawahi kuwakubali chadema?wewe ni gamba,kuna post unatete utajiri wa haraka wa Ridhiwani
 
Last edited by a moderator:
Jambo hili lingefanywa na TLP ya Mrema tusingeshangaa lakini si chama makini Kama CDM, hapa mmetuacha njia panda baadhi yetu.
 
Nimeona nichukue fursa hii kutoa yangu ya mayoni ambayo yamekuwa yakinikereketa sana tangu hizi fununu za kumkaribisha waliyekuwa wakimuita mwizi,fisadi na mla rushwa mkubwa aliyeisababishia nchi yetu hasara ya mabilioni ya shilingi bwana Edward lowasa.

Ni nani leo hii atakaye simama jukwaani na kuoshea vidole tena wala rushwa na mafisadi tukamuamini,au mtu anakuwa mwizi na fisadi kwasababu yuko chama kingine,leo hii nimeamini hakuna mzalendo kutoka chadema ambaye anasema kweli anataka kuliokoa hili taifa.

Nilimsikiliza sana bwana mbowe na hotuba yake ya kisiasa kama yeye alivyosema anaishi kisiasa kweli siasa si uzalendo.

Yaani kisa umaarufu wa Lowassa basi mmekubali kukidharirisha chama na kuonesha ukweli wa mioyo yenu kumbe mlikuwa mnawaadaa wanatazania na kelele zenu za majukwaani.

Kwani si ninyi mliomshambulia lowasa na kuipongeza serikali ya CCM kwa kumuajibisha Loawasa na mkaipongeza kamati ya mwakyembe tena mkiendelea kushinikiza apelekwe mahakamani.

Iko wapi aibu yenu leo hii yale mliyoyatapika mumegeuza kuwa mlo wenu mtakatifu.

hakika nawapongeza sana CCm kwa kuona nchi haiwezi kuongozwa na mwizi,mla rushwa na fisadi,mkamkata na matokeo yake tumeona sera za CHADEMA ni kukumbatia watu wa namna hii.

Hapa hiki chama hakijapata kushika dola wanakumbatia mafisadi namna hii je kikipata si tutapelekwa kuwa watumwa.

mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie haya maneno pure man anamwaambia ninyi watazania.

Hili ndilo neno la Bwana mkuu.
 
Mtu afuatilie toka post zangu toka toka nijiunge JF miaka karibia saba sasa sijawahi kuiponda chadema!! lakini kwa upuuzi huu wa eti kuangalia wingi wa mashabiki wa Lowassa waliopatikana kwa mbinu za kifasi, nieishusha thamani kabisa chadema!! Kumbe hawana akili kabisa!! Wametuchezea sana, wametutia aibu sana, wametudhalilisha sana watu tunaowaunga mkono..kwa bidii ikiwa hata kwa maombi ili wafanikiwe kumtoa mkoloni mweusi!! LAKINI KWELI WAMEKENGEUKA KIRAHISI HIVI!! Watanzania tumekosa nini kwa Mungu!!

usitusemee na wengine wewe kama umeshindwa kuwaelewa Chadema ruhusa kujitoa rudi CCM makao makuu ya majizi
 
Mleta mada wewe si ni CCM wa kutupwa...

Ya CDM yanakuhusu vipi?

Au ndio unataka kuwahadaa wasiokufahamu?
 
Mwana mkaidi afaidi mpaka siku ya idd, wakubwa zangu zangu walinikanya kwamba gari ulilo panda sio lakini mimi nilikaidi , kilichonipata mungu mwenyewe anajua. Sito waamini tena wanasiasa
 
Mtoa uzi cjajua ww upo upande gan kisiasa ila ulichoongea upo sahihi 100%...kama UKAWA wakimsimasha lowasa ndo raisi wao basi apo alyenufaika ni lowasa na team yake alyotoka nayo CCM,maana watu wake aliotoka nao wanamsupport hawezi kuwaacha hvi hvi na sio UKAWA ila kama wakimsimamisha mtu mwingne watakuwa wamenufaika UKAWA kisiasa zaidi..
 
Bado naendelea kuwashangaa wanaompigia kelele Mbowe na Chadema kwa ujumla kisa amempokea Lowassa na kuwa amefungua mlango wa mafisadi chamani.
Mmesahau kuwa Chadema kama chama imejijenga kwenye msingi wa Nguvu ya Umma.
Sasa kama umma umeshasoma upepo mlitaka Mbowe afanyeje?
Mbowe kama Mbowe hawezi kuzuia nguvu ya Umma.
PEOPLEs POWER
Ndo kauli mbiu. Na watu washamkubali na kumpokea Lowassa.
Acheni siasa za maji mifereji
 
Kwa hasira kura yangu na familia yangu itakwenda ccm. Kwa upuuzi huu walioufanya chadema, bora ccm waendelee kutawala. Kwa style hii chadema wameonyesha hawana dhamila ya kweli kumkomboa mtanzania.
 
Back
Top Bottom