Chadema nitakupenda, nitakusifu na nitakukosoa daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema nitakupenda, nitakusifu na nitakukosoa daima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasho la Damu, Jun 23, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chadema kama ilivyo vyama vingine vya Siasa inaamini katika maamuzi ya wananchi walio wanyonge kwa maslahi ya wanyonge, kwa hili napenda nikipongeze chama cha Chadema.Japo si kila maamuzi ni lazima yatokane na wananchi lkn kwenye hili la Meya wa Arusha, wana wa Arusha bado hatujaelewa. Ni kweli tunahitaji Amani na Upendo lkn pia HAKI tunahiitaji pia na ndio msingi wa Uhuru wa kweli, Amani na Upendo. CHADEMA MTUAMBIE LENGO LA MUAFAKA HUU NINI? NI KUGAWANA MADARAKA AU HAKI IMETENDEKA.Nawasilisha.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,915
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Kwani Lema keshatoa kauli??ninavyomfahamu yule jamaa bado hamtambui meya.
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo red&bold.

  kama unaongea kama wewe as an individual, basi jua kama unakosea na hauwatendei haki wana-Arusha, isipokuwa kama wamekutuma, na kama ni hivyo weka vithibitisho.

  kama kweli unahitaji amani na upendo, unadhani kilichofanyika hakikidhi fikra hizo?

  tafakari ili siku nyingine usilete mada zinazoelezea hisia zako wewe kama wewe.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  mambo ya malumbano yasiyoisha kama kule gaza yalishapitwa na wakati

  kubali yaishe
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Unadhani mwendelezo wa malumbano ungeleta mshindi?

  Mi ninachoona ni kwamba ccm na Tanzania na Dunia imejua mbinu chafu za kubaka demokrasia zilizofanywa na MAGAMBA.
  hII pekee ni mtaji mnene sana kwa chaguzi zijazo!
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  I Salute you sir!! Nikupongeze pia kwa jinsi ulivyotikisa bunge jana
   
 7. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu Tukiwa tunakubali kirahisi hivi tutaendelea kukandamizwa kila siku tutaishia kwenye muafaka usiokuwa na tija kwa wananchi. Juzi tu tumeshuhudia gharama kubwa ilivyotumika kumsafirisha Mbowe wakat wananchi wanakufa kwa kukosa madawa.haya si ya kuyafumbia macho.
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  haa haaaaaaa haaaaaaaaaaaaaa
   
 9. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hizi mbinu za Kung'ang'ania madaraka hazikuanzia Arusha tangu Kenya, Zimbabwe na Hata Ivory Coast mpaka Bwana Gagbo alipoondolewa kwa nguvu.
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo unamapendekezo gani?

  ulitaka wana arusha waendelee kurudisha nyuma maendeleo kwa kuendelea kulumbana ?

  nawashauri wana arusha wakiongozwa na CDM waswage gurudumu la maendeleo, kuna mengi ya kufanya na si kulumbana na takataka kama mary chatanda
   
 11. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kweli Chadema wameonyesha udhaifu! Kwenye uchaguzi mkuu mliibiwa kura za urais mkasalimu amri. Na umeya wa arusha nao mnasalimu amri kirahisi namna hiyo?? That is weakness and ccm will capitalise on it in future elections
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Nakushauri ujiunge na Al qaeda, ndio misimamo yenu inafanana, wewe upo kwenye laptop unachochea wenzako warudi nyuma kimaendeleo, huu ni ujinga.
   
 13. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka tuamini yale maandamano ya kupinga Uchaguzi yalikuwa ni malumbano na yalikuwa yanarudisha nyuma maendeleo ya wakazi wa Arusha.
   
 14. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pointless
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  Hapa nawaachie wale wenye uelewe zaidi yangu.
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  Hapa nawaachia wale wana jamvi wenye uelewa zaidi yangu waendelee kuchangia.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Wewe una point gani? huu uharo wako unadhani utapata support hapa?
   
 18. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unataka wafe wa ngapi mkuu ili ujue CDM haijakubali kirahisi.Kumbuka hata sakata la Mbowe ni kutokana na hilo swala.
   
 19. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hahahaaa another pointless
   
 20. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu si suala la watu wangapi kufa hata mimi napenda amani lkn hata ukiangalia mfumo wenyewe uliotumika kufikia muafaka una mashaka kama ule wa CUF znz waliitana Sharrif na Karume wakafanya mazungumzo ya siri, ndiyo yaliyofanyika kati ya Mbowe na Pinda ili hali wananchi hatujui kinachoendelea baadae tunaambiwa muafaka umepatikana. Inakupa picha gani hapo?
   
Loading...