CHADEMA nini msimamo wenu dhidi ya yanayotokea Afrika Kusini

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Najua hili ni suala la kimataifa lakini kuna kila sababu ya kutoka msimamo dhidi ya serikali yetu kupitia wizara yake ya mambo ya nchi za nje kwa kushindwa kutoa tamko la kulaani matendo yale mabaya binadamu wenzetu ya kuchomwa motto wakiwa hai ni unyama wa kiasi gani?

Membe akiwa kama waziri wa mambo ya nje ambaye kwa maoni yangu He is most incompetent foreign minister ever in the history our country inabidi kumtolea tamko la kulaani kitendo chake cha kushindwa kutoa statenmnt yoyote under humanitarian reasons.

CHADEMA should hold the minister accountable for putting his political carrier above our fellow human being.
 
Matatizo ya nchi, au yaliyopo katika level ya nchi,kila mtu ana jukumu la kupaza sauti. Ukiitaka Chadema tu ntakuuliza Why not cuf or ccm or act? Hili liwe jukumu la kila mmoja kupaza sauti. Hatupazi sauti kutafuta kick za kisiasa bali kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa.
 
Chadema hawana msemo juu ya mambo ya nje....kwanza hawana hata Foreign Policy...maajabu sana kwa chama kikongwe cha upinzani
 
Najua hili ni suala la kimataifa lakini kuna kila sababu ya kutoka msimamo dhidi ya serikali yetu kupitia wizara yake ya mambo ya nchi za nje kwa kushindwa kutoa tamko la kulaani matendo yale mabaya binadamu wenzetu ya kuchomwa motto wakiwa hai ni unyama wa kiasi gani? Membe akiwa kama waziri wa mambo ya nje ambaye kwa maoni yangu He is most incompetent foreign minister ever in the history our country inabidi kumtolea tamko la kulaani kitendo chake cha kushindwa kutoa statenmnt yeyote under humanitarian reasons. chadema should hold the minister accountable for putting his political carrier above our fellow human being.

Mkuu tafuta gazeti la mwananchi la jana utauona msimamo wa chadema
 
Msimamo ni kuiondoa CCM madarakani ili kuongeza fursa za ajira nchini na hivyo kupunguza ulazima wa vijana kwenda nchi za nje kufanya shughuli za kiwango cha chini ambazo hazina hadhi ya kuitwa uwekezaji
 
Back
Top Bottom