CHADEMA nikiwaita matapeli na wanafiki nitakuwa nimekosea?

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,182
Reaction score
2,021
Viongozi wetu wa CHADEMA wanaishi kwa ulaghai, udanganyifu, uongo na unafiki.

Mmewashawishi "bendera yafuata upepo" wa CUF na NCCR mageuzi(UKAWA) ili mjifanye wasafi.

Kumbukeni katiba si yenu peke yenu ni yetu wote, inakuwaje mnalazimisha mhodhi mchakato wote na kulazimisha hoja badala ya kujadili hoja?

Mmelamba pesa zetu za kodi na bado wiki moja kwisha kwa bunge ndo mnajifanya kususia bunge?

Rudisheni pesa zote mlizochukua ndipo mjitoe hapo tutawaelewa.

Tunaminywa kwa kodi ya ongezeko la thamani, tunanunua sabuni elfu 1, sukari elfu 2 per kg, tunanunua baiskeli laki na 20. Ili mpate posho zenu halafu mnaleta mzaha?

Hakika kwa hili CHADEMA mmewadanganya wenzenu, sitoona taabu kuwaita waongo, wanafiki, na mnaishi kwa ujanjaujanja na utapeli kwa kukwapua kodi zetu.

Mmechelewa sana kujitoa pale mwanzoni, sasa maandamano yenu yana tija gani? Ndo yataleta katiba mpya?

Hizo ni siasa za kitoto.

Mmenikwaza sana CHADEMA kwa hili nimejikuta natumia hadi maneno makali.

Alamsiki!!!!!!

Shukrani a. Ngonyani.
0754 50 98 69
ngonyanishukuru@gmail.com
 
Akili yako ndogo kama ya KUKU.Ningekuona una akili timamu endapo ungeilaumu serikali ya CCM kwa kutumia zaidi ya mabilioni ya shilingi kwaajili ya Tume ya Judge Warioba,Ukarabati wa ukumbi wa Bunge kwaajili ya vikao vya Bunge la Katiba pamoja na malipo ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba halafu wakaishia kuitupa kando Rasimu ya Katiba ya Tume ya Warioba na kuanza kuipiga piga viraka katiba yao mbovu ya zamani kazi ambayo ingeweza kufanywa na Bunge la kawaida badala ya kupoteza fedha nyingi hivi bure.
 
Viongozi wetu wa CHADEMA wanaishi kwa ulaghai, udanganyifu, uongo na unafiki.

Mmewashawishi "bendera yafuata upepo" wa CUF na NCCR mageuzi(UKAWA) ili mjifanye wasafi.

Kumbukeni katiba si yenu peke yenu ni yetu wote, inakuwaje mnalazimisha mhodhi mchakato wote na kulazimisha hoja badala ya kujadili hoja?

Mmelamba pesa zetu za kodi na bado wiki moja kwisha kwa bunge ndo mnajifanya kususia bunge?

Rudisheni pesa zote mlizochukua ndipo mjitoe hapo tutawaelewa.

Tunaminywa kwa kodi ya ongezeko la thamani, tunanunua sabuni elfu 1, sukari elfu 2 per kg, tunanunua baiskeli laki na 20. Ili mpate posho zenu halafu mnaleta mzaha?

Hakika kwa hili CHADEMA mmewadanganya wenzenu, sitoona taabu kuwaita waongo, wanafiki, na mnaishi kwa ujanjaujanja na utapeli kwa kukwapua kodi zetu.

Mmechelewa sana kujitoa pale mwanzoni, sasa maandamano yenu yana tija gani? Ndo yataleta katiba mpya?

Hizo ni siasa za kitoto.

Mmenikwaza sana CHADEMA kwa hili nimejikuta natumia hadi maneno makali.

Alamsiki!!!!!!

Shukrani a. Ngonyani.
0754 50 98 69
ngonyanishukuru@gmail.com

Bado unaishi kwa kulamba vidonda kama inzi?
 
Sasa TAPERI NA MNAFIQ umekuja kukosoa watu wenye sifa kama zako? Mmmh kweli NYANI haoni KUNDULE!
 
Kichwa cha nazi tu kinaweza kuleta haya!
 
Sasa kama unawaona viongozi wa CHADEMA wako hivyo... ETHICS ndani ya CCM Ikoje? Hauoni ndio inayoifanya TAIFA letu Masikini?

Embu angalia Miundombinu Dar... yaani Hizo barabara zimejengwa na Wachina hivi karibuni... Madaraja yote yamebomoka?

Sasa kweli unalaumu Upinzani; Watawala wanao Unafiki na Matapeli kama issues za EPA; RADA; MADINI unaona hao wanafaa?

Ni kwanini tumeamua kuruhusu huo uchafu ndani ya CCM? na bado utaipigia kura sababu ya POSITION yako Serikalini?

Sababu hakuma Mwajiri zaidi ya SERIKALI sasa hivi; Makampuni ya NJE yote yanaajri NDUGU na MARAFIKI...

Hypocrisy......

The only thing worse than a liar is a liar that's also a hypocrite!11
 
@shukrani a. ngonyani,kwanini unawataja CHADEMA tu ilihali waliotoka ni UKAWA. Unaamini kuwa waliobaki Bungeni wanaitendea haki posho walipwayo? Utatumiwa malipo yako ya leo huko huko Malawi
 
Ngonyani..bado unaakili ya kitumwa au ni shabiki wa siasa kama mpira..siasa ni maisha,hali ya umasikini tuliyokuwa nayo inatokana na mfumo mbovu wa kisiasa,usije rithisha tabia yako ya kitumwa au puppet kwa watoto zako
 
Last edited by a moderator:
Tuna watz wenye kujielewa lakini huyu ametia huruma, sidhani kama anaelewa hii nchi na hata mchakato wa katiba wenyewe, Mkuu, seems you are far away, come close may be you can at least smell the poisonous rubbish from its extremity
 
Ngonyani, ukapimwe akili. Matapeli na wanafiki ni Ccm, ambao wanalalamika kwamba muungano una dosari na hawataki kuuacha wa kurekebisha dosari hizo. Ndio hawa walioiacha Zanzibar ikaandika katiba yake inayokinzana na hii ya muungano. Huo ndio unafiki wenyewe!
 
Viongozi wetu wa CHADEMA wanaishi kwa ulaghai, udanganyifu, uongo na unafiki.

Mmewashawishi "bendera yafuata upepo" wa CUF na NCCR mageuzi(UKAWA) ili mjifanye wasafi.

Kumbukeni katiba si yenu peke yenu ni yetu wote, inakuwaje mnalazimisha mhodhi mchakato wote na kulazimisha hoja badala ya kujadili hoja?

Mmelamba pesa zetu za kodi na bado wiki moja kwisha kwa bunge ndo mnajifanya kususia bunge?

Rudisheni pesa zote mlizochukua ndipo mjitoe hapo tutawaelewa.

Tunaminywa kwa kodi ya ongezeko la thamani, tunanunua sabuni elfu 1, sukari elfu 2 per kg, tunanunua baiskeli laki na 20. Ili mpate posho zenu halafu mnaleta mzaha?

Hakika kwa hili CHADEMA mmewadanganya wenzenu, sitoona taabu kuwaita waongo, wanafiki, na mnaishi kwa ujanjaujanja na utapeli kwa kukwapua kodi zetu.

Mmechelewa sana kujitoa pale mwanzoni, sasa maandamano yenu yana tija gani? Ndo yataleta katiba mpya?

Hizo ni siasa za kitoto.

Mmenikwaza sana CHADEMA kwa hili nimejikuta natumia hadi maneno makali.

Alamsiki!!!!!!

Shukrani a. Ngonyani.
0754 50 98 69
ngonyanishukuru@gmail.com

wakirudisha pesa ndo utawaelewaje?
Au ndo bidhaa hzo zitashuka bei?
Ninachofahamu ni kwamba wanatetea maoni ya wananchi(rasimu) na c kulazimisha hoja na ndivyo ilivyo.
Au ni hoja zipi wanazolazimisha?
 
hata kama mtaweka chama gani bado nchi itakua masikini tu kama hao chadema wanatetea muungano wa serikeli tatu arafu wanadai serikari itaongeza ukusanyaji wa kodi ili kuiwezesha taifa kujikwamua ktk umasikini sasa kwanini wasifanye ss wajanja tumesituka wale chadema ni sawa na madalali tu wanajua kuwatafutia watu vyumba nasio kujenga.
 
haya,kakojoe ulale.
 
MKUU Ngonyani usisitike sana CHadema wote ni wanywa viloba kwa hiyo akili yao haijatulia kabisa,wanafanya mambo bila kutulia, wanacheza na akili za watanzania,wamelamba mamilioni bado wiki moja halafu wanajifanya kususia vikao.Namshauri rais wangu mpendwa Kikwete atengue uteuzi wao ili wateuliwe wengine wenye akili siyo wanywa viloba hawa.
 
na bado magamba hawasimamishi ni kuonga tu kichwani kumeja minyoo ya tegu waliobaki to hell
 
Viongozi wetu wa CHADEMA wanaishi kwa ulaghai, udanganyifu, uongo na unafiki.

Mmewashawishi "bendera yafuata upepo" wa CUF na NCCR mageuzi(UKAWA) ili mjifanye wasafi.

Kumbukeni katiba si yenu peke yenu ni yetu wote, inakuwaje mnalazimisha mhodhi mchakato wote na kulazimisha hoja badala ya kujadili hoja?

Mmelamba pesa zetu za kodi na bado wiki moja kwisha kwa bunge ndo mnajifanya kususia bunge?

Rudisheni pesa zote mlizochukua ndipo mjitoe hapo tutawaelewa.

Tunaminywa kwa kodi ya ongezeko la thamani, tunanunua sabuni elfu 1, sukari elfu 2 per kg, tunanunua baiskeli laki na 20. Ili mpate posho zenu halafu mnaleta mzaha?

Hakika kwa hili CHADEMA mmewadanganya wenzenu, sitoona taabu kuwaita waongo, wanafiki, na mnaishi kwa ujanjaujanja na utapeli kwa kukwapua kodi zetu.

Mmechelewa sana kujitoa pale mwanzoni, sasa maandamano yenu yana tija gani? Ndo yataleta katiba mpya?

Hizo ni siasa za kitoto.

Mmenikwaza sana CHADEMA kwa hili nimejikuta natumia hadi maneno makali.

Alamsiki!!!!!!

Shukrani a. Ngonyani.
0754 50 98 69
ngonyanishukuru@gmail.com
[/Q

Hivi anaetetea maoni ya wananchi na anaepinga nani mnafiki? Kama wewe ni mzakendo kweli.
 
Wewe Shukrani A. Ngonyani sikujuaga unafikira ndogo hv kama ya kuku.
Hakuna matapeli inayozidi uongozi wa ccm iliyoko madarakani kamwe!
Nilitegemea ungewakosoa wenzako wanatumia madaraka yao vibaya kwa kujineemesha wenyewe kwa raslmali ya Taifa unakuja kuleta ujinga wako hapa utafikiri unakutana na watoto kama walivyo watoto wa mafisadi siyo!
Pole na ujinga wako!
Tunakoelekea tuna wafungwa watarajiwa wengi sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom