Chadema nikama ccm tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema nikama ccm tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Mar 5, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  WAKUU.
  kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikilinganisha mienendo ya chama kikuu cha upinzani hapa bongo CHADEMA na chama tawala CCM katika nyanja mbalimbali kama vile utawala, fedha ,rasilimali, usimamizi wa mali na nyinginezo na kugundua kuwa chama hiki ni bomu ambalo saa yoyote linalipuka.
  viongozi wake ni waoga mno kufanya maamuzi kiasi cha kufikia kukaa bila hata ya uongozi wa vijana-BAVICHA na kuwaacha UV-CCM wakitakata peke yao.
  ninasema sawa na CCM kwasababu wanaendesha shuguli zao kwa majungu na fitna.
  mfano walimfukuza KAFULILA wakamwita sisimizi akaenda NCCR akawashinda KAMA AMBAVYO ccm WALIVYOMKATAA shibuda NA KWENDA chadema akashinda.

  SIKU WATANZANIA WAKIIJUA CHADEMA YA UKWELI NDIO MWISHO WA UPINZANI.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unanipa wakati mgumu kuelewa mantiki yako, naimani you mean something towards it ila bado sijakupata vilivyo...
   
 3. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  MPEVU.
  nina maana hizi kelele zote tunazopigiwa kwa sasa na hawa jamaa ni usanii mtupu kwa sababu hata wao wenyewe ndani ya CHADEMA hawana mfumo bora na imara wa kukinawilisha chama chao zaidi ya kupigana majungu tu.
  ntakupa siri moja.
  mwanamke wa dokta SLAA alikuwa na nguvu katika kampeni kuliko hata SLAA na chama chenyewe..alikuwa anaweza kusema huku nenda kahutubie huku usiende...
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ulitaka CDM wafanye maamuzi gani zaidi ya hapo walipofikia ili watofautiane na ccm? Tofauti kubwa ni kwamba ccm hawana nia ya kuwajali maskini, inawakumbatia mafisadi na kutake advantage ya ujinga wa watz ili kuendelea kubaki madarakani na kuendeleza ufisadi! CDM kina uchungu mkubwa na watz nafikiri kuliko chama kingine chochote cha siasa!
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hebu toa mfano wa hayo unayoita majungu ndani ya cdm! CCM walijaribu sana kutumia familia ya Dkt Slaa na background yake ya upadre kumdhoofisha kisiasa lakini so far wamegonga mwamba! Sasa hivi wanamwinda tu wamkamate tu bila kosa lolote kama walivyoanza kufanya kule Kahama! Badala ya kutekeleza ahadi zao hewa CCM wanatumia muda mwingi kukiwinda na kukimaliza CDM!
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inaonekana una hoja nzuri sana,lakini mode of presentation is very poor!please paraphrase same,to bring more useful meaning!!
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Crap!!
   
 8. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Oya fitna majungu ndani ya chama cha siasa chochote duniani yanakuwepo even U S A tuliona hillary clinton alivyomfanyia obama bt mwisho wa cku walipomaliza kampeni ndani ya chama wakawa wamoja so hilo co bomu tafuta propaganda nyenyine kuwadi wa CCM
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hakuna shaka vyama hv ni sawa. Kwanza sheria iliyoviunda na kuvipa usajir ni moja then hata namba za barua za usajili wao zaendana, kwan CCM ni 1 na CDM ni 2. Vyote vina wanachama bara na visiwani, vyote ni vyama vya kisiasa vyenye malengo ya kushika na kutawala nchi, vyama hivi vyote vimepata kushiriki chaguzi zote toka mfumo wa vyama vingi ulipo rasimishwa mnamo mwaka 1992 japo kwa ngazi tofauti, vyama hv pia tukumbuke kuwa vinaundwa na watanzania kwa manufaa ya watanzania wote. Lait watanzania wangejua usawa uliopo ktk vyama hivi kisheria wasingeweza kurubuniwa ama kupotoshwa pasipo msingi, vyama vyote CCM na CDM kwa pamoja vimekuwa vikihubiri umoja, amani, utulivu na mshkamano wa watanzania kwa wakati tofauti. NDUGU ZANGU UTOFAUTI WA CHAMA SIKU ZOTE HUWA NI JUU YA ITIKADI NA FALSAFA YA CHAMA, KWA HILI NAWEZASEMA KWA UHAKIKA CDM NA CCM SI SAWA, thats why marumbano kati ya vyama hivi siku zote umekuwa mkali, mkubuke chadema wamejiweka katika itikadi ya nguvu ya umma, wkt ccm wao ni ktk ujamaa though mpaka sasa hakieleweki, hv n itikadi wa toka uanzilishi wake toka enzi za mwalimu nyerere.
   
Loading...