Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 17,241
- 30,512
Akichambua hali ya kisiasa ktk Gazeti Maalumu linalotoka kila wiki" Pambazuko" kwa njia ya mtandao Nguli wa Ushushushu na Ujasusi Huyo Evarist Chahali ameleeza.
Mtalaaam Huyo wa maswala ya kijasusi na ushushushu ambaye anaishi Uingereza kwa miaka mingi ametanabaisha hivyo.
Falsafa yake hiyo inatokana na uzoefu, uwezo na uchambuzi uliotukuka ktk fani hiyo ambayo amedumu takribani miongo kadhaa.
Kama mkaazi wa Nchi hiyo ya Ulaya kwa miaka mingi amejifunza mwenendo wa siasa za Nchini humo na kuona kuwa Chama kikongwe cha Conervative kina mfanano ktk mienendo yake na Chama cha Mapinduzi ccm cha Tanzania.
Amedai kuwa chama hiko kikongwe kilibweteka baada ya kukaa madarakani kwa Muda mrefu kudharau malalamiko na maoni ya Wananchi.
Akilinganisha na Hali ya siasa ya Tanzania amekipa faida( benefit of Doubt) chama kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema kuwa na misingi na uungwaji mkono wa Wananchi wengi. Ambao wakiungana kwa umoja wao Chama cha Mapinduzi kinaweza kisifue dafu hapo Mwakani 2025.