Asante kwa ushauri wako mzee mama.Ukiona kampeni za CHADEMAsiyo siri Zina zinasisimua. Naweza nisiwe hasa na sababu zinazoeleweka, lakini ukweli unabaki kwamba ni kampeni nzuri.
Kuna tatizo la utovu wa nidhamu ninaloliona ambalo bila shaka litawafanya watu waliositaarabika kuinyima kura Chadema au kuwa katika mtanziko...
Binafsi nimehudhuria mkutano wa CCM kuanzia Bukoba Mjini na Biharamulo. Kagera na haswa Biharamulo wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea wa CCM John Magufuli, yanayosemwa ni uzushi tu..ukweli usemwe, Kama hukua eneo la tukio usipoteze muda kubishanaMagufuli amekataliwa na wapigakura huko Bukoba.
Yah ni kweli watu hawamtaki kabisaBinafsi nimehudhuria mkutano wa CCM kuanzia Bukoba Mjini na Biharamulo. Kagera na haswa Biharamulo wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea wa CCM John Magufuli, yanayosemwa ni uzushi tu..ukweli usemwe, Kama hukua eneo la tukio usipoteze muda kubishana
Sio kwamba akijaribuYah ni kweli watu hawamtaki kabisa
Magufuli atapoteza huu uchaguzi
Akijaribu kuiba ndo ataharibu kabisa
Utabaini uhalisia muda ukifika,kwani kwasasa mbinu zote chafu zinatumika,ikiwa ni pamoja na kuwanyima coverage.Iyo ni kawaida kwa mashabiki wa vyama kipindi Cha kampeni ata Lowasa ali itwa Rais. Ukweli uliopo uchaguzi wa mwaka huu Upinzani ni kama haupo kinacho fanyika ni futuhi.
Kima we jaribuni muone, mwaka huu Ni totauti mlivyozoeaSio kwamba akijaribu
Meko kura sisi tutamsaidia kuiba na hamuwezi kutufanya chochote
Unaumia bure kwa kitu ambacho huna control nacho. Eti watu hawataenda kupiga kura kwasababu wanajua ameshakuwa rais? Yaani mtu mzima unafikiria kitu cha namna hiyo? Inawezekana kwasababu ccm imedumaza akili za watu. Wewe mgombea anawafokea kwenye mkutano na kujiapiza kuwa hataleta maendeleo kwasababu mmechagua, unadhani zawadi yake ni nini kama siyo kumkataa?Ukiona kampeni za CHADEMA siyo siri Zina zinasisimua. Naweza nisiwe hasa na sababu zinazoeleweka, lakini ukweli unabaki kwamba ni kampeni nzuri.
Kuna tatizo la utovu wa nidhamu ninaloliona ambalo bila shaka litawafanya watu waliostaarabika kuinyima kura Chadema au kuwa katika mtanziko...
Hayo maneno yenu tumeyazoea tangu mwaka 1995, kilichotokea zbr 2015 ndicho kitakachotokea tz bara 2020, atakayeka fyoko fyoko atakuwa halali ya serikali.Kima we jaribuni muone, mwaka huu Ni totauti mlivyozoea
Siyo vizuri aisee!Sio kwamba akijaribu
Meko kura sisi tutamsaidia kuiba na hamuwezi kutufanya chochote
Tena Live on his face.Magufuli amekataliwa na wapigakura huko Bukoba.
Ukiona kampeni za CHADEMA siyo siri Zina zinasisimua. Naweza nisiwe hasa na sababu zinazoeleweka, lakini ukweli unabaki kwamba ni kampeni nzuri...