CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
Umaarufu wa chadema unazidi kuporomoka Baada ya Kumtungia Tuhuma zisizo za kweli Mh zitto kabwe, lengo kuu lilikuwa ni kuhakikisha Hapati uwenyekiti na anapotea kisiasa kabisa, waasisi wa jambo hili ovu hawakujua kwamba wanaharibu Mzizi mkuu kabisa wa chama ambao kama ukikatika jumla utapelekea chama chote kuangukia pua, Leo Hii kunawatu ambao hawawezi kumuangalia zitto usoni walitarajia kwamba atashindwa kwa kashfa zao za kutunga.


Zitto ni Hazina ya uongozi wa taifa hili na sio mburu....kenge, mhuni na jambazi wa magari wa Arusha ambae kwa bahati mbaya alipewa ubunge, kitu ambacho jamii nzima ya arusha ukiondoa wavuta bange na unga wanajutia. Hakuna siku aliongea na jamii ikaelewa kwamba kunajambo la kujenga jamii kaongea, badala yake kila aongeapo ni kuchochea uvunjifu wa amani tu.


Bilashaka Siku itakuja tutaona Chadema wakitaka maridhiano na Kamanda wa Ukweli zitto zuberi Kabwe, wataomba msamaha tu na wataomba waende pamoja kwa lengo la kutokudhuru chama zaidi ila zitto akili yake sio chadema, zitto akili yake ni watanzania wasonge mbele kimaendeleo kwa hiyo atasimamia msimamo wake Huo.


Jamii inajua msingi wa kumchafua zitto kuwa ni:

Msimamo wake Kuhusu Posho za wabunge ( kero kubwa kwa jambazi wa magari arusha).
Uenyekiti wa chama( ugomvi na Mbowe)
Msimamo wake kuhusu ukaguzi wa mahesabu ya vyama ( Mbowe, slaa, na team yao ya wizi).


Lakini majibu Kamili Chama kimeishapata kutoka kwa wananchi baada ya dharau waliyomfanyia Mh Zitto na Bado mpaka wamuelewe zitto!



Zitto kajielewa ndio maana anapingana na wanaotaka kuifanya chadema Kampuni ya watu wachache.

CC: Mbowe
Slaa
Mnyika.
Lema.
TunDu.
Msigwa.
Sugu.
Zitto.
 
.







Zitto kajielewa ndio anapingana na wanaotaka kuifanya chadema Kampuni ya wachaga.

KAKA HUIJUI CHADEMA......ACHA KUISEMEA, Kama wewe unaona Zito ndio maarufu, kaulize watu huko Mbeya na Rungwe na kwingineko! Acha upofu wa fikra.....
 
majata,Mwanachama wa chama hatakiwi kujiona yeye ndiyo chama,chama ni Katiba na hata kama kuna tatizo basi litatuliwe kulingana na Katiba vinginevyo Demokrasia ndani ya chama haitakaa sawa.

Ukiangalia kwa mwelekeo wako basi hata akianzisha chama chake watu watamfuata yeye kama yeye na si chama wala sera za chama,mahali popote lazima ukubaliane na matakwa ya chama unachokitumikia na si vinginevyo.
 
ndio mazoea yako hayo bro na jamaa yako wa arusha alishapelekewa mtalimbo na picha alipigwa, teh teh teheeeee!
 
duuuh we n zaid ya div 5...ka cdm ina watu waovu kias hicho yeye msafi anatafta nn kwa waovu?

mshauri aachane na cdm atafute watu wenye hadhi yake....yote tisa kum ni wewe kuropoka ka zuzu. .unadhan kuwatukana viongoz wa CHADEMA ndo kunampa credit hyo zitto au???
 
kachambe ukalale, JF si sehemu ya kutafuta mabwana.

Chadema & wasio jielewa CO, nenda kafanyane na jambazi wa A town kama kawaida yenu, Hakikisha umekunywa Viroba au Gongo.
 
Chadema mliambiwa kwa mdomo mkawa wakaidi sasa mnayaona kwa macho
 
Chadema & wasio jielewa CO, nenda kafanyane na jambazi wa A town kama kawaida yenu, Hakikisha umekunywa Viroba au Gongo.

akili ya mgao Wa laki na nusu kwa mwezi shidaa....unamtetea mtu ambaye hawez kutumia vikao halali kuhoji anaropoka kweny fb....!!!
 
Chadema mliambiwa kwa mdomo mkawa wakaidi sasa mnayaona kwa macho

tulianza kuyaona kweny jimbo la zitto alipokuta cdm ina madiwan 11 sa hv kuna diwan 1.....etii ana ushawishi Wa kisiasa....kumbe ana ushawishi Wa kimulungura tuuu
 
Kinachonifurahisha kwa sasa yale maneno ya kuchukuwa dola 2015 yameisha,nafasi ya ZITTO ndani ya CDM inaonekana wazi,na kama umesoma ule WARAKA wa Dr. KITILA utakubalikabisa ule utafiti wa Kisayansi.
 
acha bangi we bnti zzt kashapotea na act yake
 
acha bangi we bnti zzt kashapotea na act yake

na Chadema isha puruchuka na kalenga, tena isithubutu chalinze kwasababu ya unafiki na wizi wake.
 
mjomba jiandae kisaikolojia , ZITTO AMEKWENDA NA HATORUDI TENA KWENYE SIASA ZA NCHI , UMASIKINI WAKE UMEMPONZA , atabaki Mwandiga tu , kama mimi nilivyo na jina kubwa kwetu KYELA .
 
mjomba jiandae kisaikolojia , ZITTO AMEKWENDA NA HATORUDI TENA KWENYE SIASA ZA NCHI , UMASIKINI WAKE UMEMPONZA , atabaki Mwandiga tu , kama mimi nilivyo na jina kubwa kwetu KYELA .

uwe najina kyela wewe du! maajabu ya dunia haya, jitambue kijana achana na siasa za bendera fuata upepo.
 
mjomba jiandae kisaikolojia , ZITTO AMEKWENDA NA HATORUDI TENA KWENYE SIASA ZA NCHI , UMASIKINI WAKE UMEMPONZA , atabaki Mwandiga tu , kama mimi nilivyo na jina kubwa kwetu KYELA .



Ukweli huwa hauzimwi kwa risasi na fitina...

CDM imeshakufa....
 
Back
Top Bottom