CHADEMA ni wachawi wa upinzani - Mtatiro

Kaimu Katibu Mkuu wa CUF, Jurius Mtatiro amesema Chadema ni wachawi wa upinzani Tanzania, tena ni vigeugeu wakubwa watu wa propoganda kila siku wanaumiza vichwa vyao jinsi gani watawauwa CUF; wanaeneza propoganda CUF wamaeungana na CCM hawawezi kushirikiana nao wakati huo huo Chadema wanachukuwa pesa kutoka kwa kada wa CCM SABODO, ni sawa sawa kusema utaki kula nyama ya nguruwe lakini supu yake unakunywa.

MLIMANI TV

Kweli Mtatiro amelogwa mpaka kwenye ubongo.Kwani Chadema walienda kumtafuta Sabodo?ulishasikia wanamtafuta mfadhili yeyote ama watu wanatamani kuwasaidia na kushiriki nao.
 
Mtatiro ana jazba mbaya hafai kuwa mwanasiasa simtofautishi na Tambwe Hiza au Makamba lakini yeye zaidi ya yote haiwezi propaganda.

Anachukulia siasa kama ajira
 
Nadhani tuna haja ya kuamini kuwa Chadema ndiyo chama Tawala kwa sababu ndiyo chama ambacho kinapingwa. Wapinzani wa Chadema ni CCM, CUF, NCCR - Mageuzi, TLP, UPD... Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.

Kama Chadema siyo chama Tawala iweje CCM waungane na vyama vingine kukipinga? Mara nyingi tumeona vyama vingine vinavyodhaniwa kuwa vya upinzani vikikashifu Chadema badala ya chama kilichopo madarakani. Kwa hili tukubaliane tu kwamba CCM na vyama hivyo vingine vitangaze kuwa Chadema ni chama Tawala ili yaishe.

Umeona mbele, CDM ndo inatawala sababu ndo chaguo la wananchi mwe!

Pole Mtatiro utajutia
 
Nataka kumuuliza huyo dogo swali moja tu. Iwapo CUF hapa Dar wataandaa maandamano kuipinga CCM je Katibu wake mkuu Mh Maalim Seif anawezakuwa mstari wa mbele kuongoza hayo maandamano? Na ile escot ya polisi itakuwa wapi? na wale FFU wakianza kurusha mabomu yao wakati Makamu wa Kwanza wa serikali ya CCM yuko humo itakuwaje? Je hiyo haikuambii tu kuwa CUF ni CCM B na kwa vyovyote haiwezi kuipinga CCM?

TOKA MTATIRO, TOKA KABLA HUJACHELEWA
 
Mtatiro ni mtu mwenye maneno mengi tena yasiyojenga zaidi sana ni kujihami na kujaribu kuharibu hali ya hewa ndani ya CDM na wananchi dhidi ya CDM, binafsi huyu jamaa ni kati ya watu ambao nimewapuuza muda mrefu, mtatiro anafaa sana kwa maneno yake mengi ya hovyo hovyo kuwa MC kwenye kicheni parties/unyagoni.

Aisee kiongozi nimeipenda sana hiyo kwenye red imenifanya nicheke sana
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Mtatiro unakaribiswa Lumumba na watangulizi wako Tambwe Hizza na Msabaha .Si unawaona walivyo nenepa na kunawiri, ukibaki hapo siku isyokuwa na jina utatolewa kafara.
 
Hana jipya huyo, kwa hiyo kupewa hela na SABODO ni kuungana na CCM? Huyu bwana mdogo akubali tu kwamba alishaingia choo cha kike, wenzake wanajadiliana maswala ya CUF mskitini ambapo yeye hawezi kufika, halafu anakuja kukurupuka na kuongea upuuzi tu.

CUF wameungana na CCM Zanzibar kuunda what is called serikali ya kitaifa, je wana-qualify vipi kuwa wapinzani? Dogo akiweza hata achomoke tu na aende CHADEMA anaweza pokelewa tu, muulize alijaribu ubunge Ubungo alipata kura ngapi??

Kama walivyo Arfi na Zitto vilee kule CDM..wenzao wanaweka mikakati yao kanisani wakiongozwa na ( Pe..go) a.ka Kibogoyo wao wanapata tabu kuijenga CDM sasa chamoto wanakiona...maana kila siku zengwe tu..mara eti oh! anatumiwa na CCM mara oh! ni swahiba wa RA..n.k

Nchi hii bana siasa kweli ni SIHASA.
Wakatabahu
Shkh Yahya.
 
Anatafuta umaarufu kupitia Chadema!! Atafute sehemu ya kuikandia ccm which is not easy kwani ndo wenye serikali (CUF na CCM). Kwa hiyo anaona hapa 2015 itafika bila kuwa maarufu.
 
kama walivyo arfi na zitto vilee kule cdm..wenzao wanaweka mikakati yao kanisani wakiongozwa na ( pe..go) a.ka kibogoyo wao wanapata tabu kuijenga cdm sasa chamoto wanakiona...maana kila siku zengwe tu..mara eti oh! Anatumiwa na ccm mara oh! Ni swahiba wa ra..n.k

nchi hii bana siasa kweli ni sihasa.
Wakatabahu
shkh yahya.

nimegundua humu kuna mijitu mingine ina akili za makalioni kama mtatiro mwenyewe.jadili mada wewe acha uvuvuzela usiokuwa na mantiki.yani cuf utawagundua tu mapema kwa udini walio nao.
 
Hivi m/kiti wa kwanza na wapili wa CUF wapo wapi na nini kiliwatoa huko CUFni, alafu Mtatiro naona hamjui Maalimu vyema, Maalimu mwenyewe ni CCM damu tokea utotoni sasa sijui upinzani aliingia vipi? na alikuja kufanya nini? ni Sawa leo utwambie Mzee Mwinyi ni Upinzani.
 
hana jipya huyo, kwa hiyo kupewa hela na sabodo ni kuungana na ccm? Huyu bwana mdogo akubali tu kwamba alishaingia choo cha kike, wenzake wanajadiliana maswala ya cuf mskitini ambapo yeye hawezi kufika, halafu anakuja kukurupuka na kuongea upuuzi tu.

Cuf wameungana na ccm zanzibar kuunda what is called serikali ya kitaifa, je wana-qualify vipi kuwa wapinzani? Dogo akiweza hata achomoke tu na aende chadema anaweza pokelewa tu, muulize alijaribu ubunge ubungo alipata kura ngapi??

cuf kama ni kuolewa wameolewa.....yaani na ujanja wote wamefikia kuambulia nafasi ya makamu wa kwanza wa rais asiyekuwa na nguvu wala umuhimu ....just imagine...majukumu yake yapo limited kupambana na madawa ya kulevya na kushika wanawake waliovaa vimini....what a waste....is that what you and your honoured martys fought and died for .........they went out so cheap!!!
kibaya zaidi hata rais akiwa hayupo yeye hawezi kukaimu .....kikombe kinamruka kwenda kwa makamu wa pili wa rais .....!
 
Bado kitambo Kidogo tu Matatiro atajua hapo alipo sio penyewe na nina uhakika atakwenda kunako staili kwa sababu ni mwanasiasa mzuri ambaye yupo pasipopenyewe
 
Laiti nguvu kubwa wanayotumia wapinzani kulumbana wao kwa wao wangeiunganisha dhidi ya chama tawala, leo siasa za Tanzania zingekuwa na sura tofauti na hii tunayoiona leo.
 
Kaimu Katibu Mkuu wa CUF, Jurius Mtatiro amesema Chadema ni wachawi wa upinzani Tanzania, tena ni vigeugeu wakubwa watu wa propoganda kila siku wanaumiza vichwa vyao jinsi gani watawauwa CUF; wanaeneza propoganda CUF wamaeungana na CCM hawawezi kushirikiana nao wakati huo huo Chadema wanachukuwa pesa kutoka kwa kada wa CCM SABODO, ni sawa sawa kusema utaki kula nyama ya nguruwe lakini supu yake unakunywa.

MLIMANI TV[/QUOT

Cuf wakafanye siasa zao zanzibar sio huku bara, tunajua wanatetea maslahi ya Zanzibar na sio Bara hivi ile ndoa yao na CCM iko bado tuli?
 
cuf kama ni kuolewa wameolewa.....yaani na ujanja wote wamefikia kuambulia nafasi ya makamu wa kwanza wa rais asiyekuwa na nguvu wala umuhimu ....just imagine...majukumu yake yapo limited kupambana na madawa ya kulevya na kushika wanawake waliovaa vimini....what a waste....is that what you and your honoured martys fought and died for .........they went out so cheap!!!
kibaya zaidi hata rais akiwa hayupo yeye hawezi kukaimu .....kikombe kinamruka kwenda kwa makamu wa pili wa rais .....!

CUF ndio walioowa..tena kwa mujibu wa dini yao (Uislamu) kama ambavyo wengi humu mnavyotaka watu waamini..wao ndoa ya zaidi ya mke mmoja ni ruhsa. Walivyopeleka posa kwa CDM ya kutaka kufanya Thalatha baada ya Mathna na CCM, CDM the proposed mke mdogo akaanza kuja juu.

Ila ipo siku tu atakubali maana mara nyingi mke mdogo tena akiwa bi...ra huwa ni mgumu kidogo.CDM ndio kwanza ni wabichi kwenye uongozi (bi..ra), lakini watakubali tu. Wenzao CCM kwakuwa wameshakomaa baada kuwa kwenye mahusiano ya ndo ya muda mrefu tangu enzi hizo walivyokuwa TANU na ASP.

Wakatabahu.
Shkh Yahya.
 
CHADEMA haiwezi kuiua cuf coz cuf ilishakufa.mipango na harakati za CHADEMA ni kukomboa nchi si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom