Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA
- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani
- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B
CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.
NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.
Karibuni Tarehe 26, Oct, Jangwani tutasaini makubaliano ya UKAWA tuanze safari ya kuiondoa CCM madarakani. Acheni kuingiwa kiwewe. Wananchi ndo wanataka UKAWA, ni wajibu wa vyama makini kusikiliza wananchi wanataka nini, siyo tofauti ya vyama vyetu. Maslahi ya wananchi kwanza,