CHADEMA ni selfish, UKAWA kuweni macho

CHADEMA ni selfish, UKAWA kuweni macho

Nabado mtaweweseka sana tarehe 29/10/2014 mkataba kang`aaaaaaa mlijaribu kuwafitisha kwenye bunge la katiba ikashindikana jitihada bado zinaendelea ....... Mwisho wenu umefika Tumieni Katiba,Kanuni,sheria na mamluki kukwamisha Ukawa ila mjuwe lilopangwa na Mungu Binadamu huna Chako.😛eep:
 
Wewe mtoto wewe. Kazi hii unayoifanya ni utumishi uliotukuka wa setani. Mungu hakuumba wanadamu wafanye kazi ya fitina na uchonganishi, kuharibu amani na kuwatakia watu mabaya kwa jinsi isivyo halali. Kwa hiyo wewe mshikamano wa UKaWA unakuumiza moyo hadi bila haya unaamua kujitoa muhanga kujidhalilisha hapa? acha kumtumikia shaitwan, Mwamini Mungu akupe roho ya upendo na kwelli

Jioni Njema.

Jesus Loves You!.

Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.
 
Mbatia umesahau kuitwa ccm b member,maalim seif umesahau kuitwa ccm b kwa kuunda serikali ya kitaifa din fool urself to trust chagadema

Duh, pilipili ya shamba ya kuwashiani? Pole ndiyo hao wanaelewana.Wazee wazamani walisema .."Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune"Sasa wewe ulikuwa unafanya nini wakati wote huo, shamba haujalima basi umebaki kujishangaa tu pole ndugu yangu.
 
Mbatia umesahau kuitwa ccm b member,maalim seif umesahau kuitwa ccm b kwa kuunda serikali ya kitaifa din fool urself to trust chagadema

,.. Mkuu, Kwenye Siasa Hakuna Rafk Wala Adui Wa Kudumu, Bali Kuna Malengo Ya Pamoja.
 
Mbatia umesahau kuitwa ccm b member,maalim seif umesahau kuitwa ccm b kwa kuunda serikali ya kitaifa din fool urself to trust chagadema

Unaweweseka bure binti wewe! Karibu lake zone umsikilize Mh Halima Mdee akitoa dose ya uhakika kwa magamba.VIVA CDM,VIVA UKAWA
 
Na Bado,mtaimba Kila Single Lakini UKAWA UMEWASHIKA VILIVYO
 
Toa wivu wako wakike bhana, inamaana hapo ulipo hujawah kukoseana na ndugu yako au huenda uliwah kumtus au alikutus na mkasamehana? Unapoandika post yako kuwa makin na ujitambue ni nn unachoandika na unamaanisha nn,
 
nachochea kuni
 
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA

- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani

- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B

CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.

NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.

Naona umejigeuza n kuwa mshauri wa vyama vya upinzani nchini.
 
chadema imebaki napress release aka chama yamatamko
 
Toa wivu wako wakike bhana, inamaana hapo ulipo hujawah kukoseana na ndugu yako au huenda uliwah kumtus au alikutus na mkasamehana? Unapoandika post yako kuwa makin na ujitambue ni nn unachoandika na unamaanisha nn,
km huna hoja bora utulie matusi ya nn?hatwez kufikiri unavotaka ww
 
Unahitajika umakin wa hali ya juu sana kujiunga na CHADOMO, hawana dhamana, ni vigeugeu kama mbwa aliye katika hedhi!
 
Back
Top Bottom