CHADEMA ni sawa na 'Simba mfa maji'

Vijana wa Chaga development manifesto tumkemee huyu bwana kwa jina la yesu aache kutuzonga.....chama linakuwa kwa uwezo wake mungu aliyehai uko mbinguni na ashindwe anaetuharibia..

Hata namna ulivyoandika hii thread inaonyesha ubongo wako ni maji kabisa...yaani wewe ni bureee kabisa...
 
Acha JAZBA kaka, Nimetumwa na UZALENDO.....Usiniulize nalipwa buk ngapi..

Mkuu hapo kwenye red nadhani uliteleza kidogo,umetumwa na gazeti la Mzalendo si ndio? Una akili ndogo sana,ufinyu wa mawazo,masihara kwenye mambo ya msingi,na sikushangai maana nakufahamu una tatizo la muda mrefu la kupoteza fahamu....
 

lala sasa,umeshaingiza siku.Tehe tehe teheeee......
 

Hebu tupe faida, tueleza mambo matano tu ambayo CHADEMA INASIMAMIA. Usisahau ya fuatayo:
  • Umoja wa kitaifa
  • Siasa za nchi za nje
  • Imani
  • Uhuru wa uandishi wa habari
  • Nafasi ya upinzani
 

Mkuu hapo kwenye red nadhani uliteleza kidogo,umetumwa na gazeti la Mzalendo si ndio? Una akili ndogo sana,ufinyu wa mawazo,masihara kwenye mambo ya msingi,na sikushangai maana nakufahamu una tatizo la muda mrefu la kupoteza fahamu....

Sijakosea ni UZALENDO, vinginevyo ningeshaenda kulala.
 

heri uwe umeeandika usicho amini.
Kama ulicho andika ndicho unacho amini basi wewe ni mkoloni masikini mwafrika, huna tofauti na mtazamo wa wakoloni wazungu dhidi ya TANU ileeee...
Wewe ni janga la taifa.
 
Mmmm Jamani humu ndani kuna watu inabidi wakapimwe akili au Administrator aweke code za kuverify kwamba anaye log in na kuweka thread yake ni mtu mwenye akili na utashi na sio kama roboti.....!!! Tuache kufikiri kwa kutumia tumbo
 
Zawadi Ngoda - nadhani hayo majina tu yanatoa fununu ya aina ya mtu mwenyewe. Lakini usipasuke kwa hasira, nenda kanunue katiba ya CDM ni Sh.2,000/- tu halafu ujisomee, sawa mtoto mzuri eeeh, ukimaliza nitakuletea zawadi nikirudi toka mjini.
 
Naona Zawadi Ngoda kaenda kulala,kaona hamna mtu ambae yuko interested na PUMBA zake.
 

Wewe masaburi sana kumbe hoja zote umekuwa nazo umeshindwa umeamua kutukana? Hapa utapumulia makalio yako hii ni J F umeanza kutokota hahahaa kama Nape kule Mwanza .
 
Naona Zawadi Ngoda kaenda kulala,kaona hamna mtu ambae yuko interested na PUMBA zake.
Mkuu hajaenda kulala hivi sasa yupo ktk mazungumzo na baha-kwata ili watoe tamko hapo baadaye.
 

Vijana wa JK bana, kazi ya kuinadi CCM imeshindikana sasa kilichobaki ni "paint bad your opponent" call them names, discredit them, just do whateva it takes to make them look bad. Hahahah ahahaha ahahahah!!!! Mnachosahau ni kwamba CCM imepoteza momentum na mwelekeo and you won't get these kwa kuitukana CHADEMA hahahahah!!!!! How does one really like CCM, when it is in the news everyday not doing what they promised in their election manifesto but rather infighting, uncivilized conflicts, corruption etc.

Mkuu jengenin chama chenu ya CHADEMA muwaachie CHADEMA.
 


Nyambala umesema vyema but I duobt if these hoax will hear and understand your few beautiful lines .
 
Kuna haja ya kuanza kupuuza kuchangia thread za watu kama hawa. Naona wana mkakati wa kugeuza JF kijiwe cha kupost ujinga,mods kuweni makini na threads kama hii.
 

Nimezipitia topic nyingi ulizozileta humu jamvini,hakika nimezichambua na kukufikiria sn na ninegundua una chuki ya wazi dhidi ya Chama cha Chadema.Kila topic unaiponda Chadema tu tena kwa hoja zisizo na mashiko zinazoonyesha namna ubongo wako umeoza kwa virus wa fikra za kitumwa.
 
this Zawadi sounds like nanihii Jr. Mh, may be coincidence!
 
before you paint someone bad, make sure that you are not ugly!
 

yA CHADEMA MWACHIENI CHADEMA, hapa umechemsha. Unamaana tuwaachie ili muingie madarakani na mtuburuze! Sasa hatuwaachii tutachohakikisha ni kuwa CHADEMA yaishia ubunge tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…