Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,654
- 272,477
Unajua siyo Lukuvi tu,leo ungemsikiliza Kigwangalla ndiyo ungejua ni namna gani hata ukiwa na madegree mengi tu lakini kama Uzalendo wako uko mashakani lazima uonekane kituko.
Kwa hiyo siyo makosa yao ni makosa yetu kuwapa nafasi ya kutuongoza lakini wametuona tu wajinga au shule yetu ni ya kuuliza na wao tu ndiyo walioelimika,wakati wengi wao kupata tu huo Ubunge wamehonga mpaka basi lakini wanajiona wako juu ya sheria.
Sikutegemea mtu daktari mzima anashindwa kuargue anabaki kufanya vihoja Bungeni.
mmh!! we nae ndugu yangu nakuwa na wasiwasi na kufikiri kwako, au na wewe ni wale wale mlio mezeshwa point, muungano utavunjika na gharama bila kutoa points za kutetea hoja?- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?
- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!
ES
HAMIS ni mtu wa kiwango cha chini sana !
wabunge,wajumbe wa bunge maalum la katiba na viongozi wa chadema wanastahili sifa. Katika maslahi ya taifa,wako tayari kuungana na yeyote popote ili mradi tu maslahi ya taifa yanalindwa na kutetewa. Wanaweza kushirikiana na mwanasiasa,mwanazuoni,mwanaharakati,mpendanchi na mzalendo yeyote na katika wakati wowote.
Wapo wanaoshangazwa na chadema sasa kushirikiana na cuf na nccr-mageuzi katika kutetea katiba mpya yenye masahi kwa wananchi wote.wapo katika umoja wa katiba ya wananchi (ukawa). Pamoja na kuwa kila chama kilichopo ukawa kila sera na malengo yake,tofauti zao zimewekwa kando kwa muda huu wa kuitafuta katiba mpya. Ukawa wameivana na kuelewana kama waliotoka chama kimoja.
Wanasiasa wanapaswa kujifunza kwa chadema.wanapaswa kujua kuwa siasa ni hoja za wakati fulani ambazo si lazima zifanane kila uchao. Siasa ni mazingira na namna ya kujenga mantiki kutokana na mazingira yaliyopo. Siasa si kung'ang'ania jambo moja kwa muda wote eti tu kwasababu lina manufaa ya sasa. Vipi kuhusu baadaye?
Na wanasiasa wengine wangekuwa kama hawa wa chadema,nchi hii ingekuwa mbali sana. Kila la kheri chadema!
Nadhani hata wapiga kura wake leo wamemdharau.I pity him.
Ha! Ha! Haaaa!!!!
Usicheke Kaka tunaenda kubaya,maana sijui 2015 wenyenchi yao watatupatia akina nani,maana ndiyo wenyenchiyao na wanamaamuzi ya nani awe kiongozi.
nacheka kwa huzuni sana mkuu .
Napoona mtu anasifia na kushabikia wauwaji natamani kumchapa viboko. Chadema imemwagia watu tindikali, imelisha watu sumu, imelipua watu kwa mabomu, leo unatuletea siasa uchwara hapa
- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?
- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!
ES
Hata mpige zumari na matarumbeta CHADEMA imekwisha
- Muungano unatakiwa kurekebishwa sio kuuvunja kisa hamjawahi kupata kura Zanzibar ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi wakubwa, kila uchaguzi mnashindwa halafu sasa kati kati ya mchezo mnataka kuhamisha magoli ili mshinde tu uchaguzi hatawezekana,
es
Chopa 3 kata 3