Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,627
- 272,405
Ivi CHADEMA si ndio waleee Mnaowaita CUF ,CCM B, na Mnauhakika hawa CUF kupitia UKAWA wana lengo moja . ( mfumo wa serikali ,nao CUF wanasupport Serikali tatu au!??
Alafu kumbe leo hata katiba yetu inatambua shirikisho sema CCM wenyewe ndo hawaelewi hilo wao wanadhani ni serikali 2 kumbe ni 3 japo si rasmi
Toa sababu we
hilo ni robot , limesetiwa one way traffic ! Halina uwezo wa kujibu maswali .
KWA NIABA ya FAMILIA YANGU YA HAPA TANDIKA MWEMBEYANGA , NAKUSHUKURU SANA .
Jambo moja ambalo ni la kushangaza ni kwamba CDM wamekuwa ni watu wa siasa za matukio, hawana msimamo hususani katika sera za chama chao,mf CDM na vyama vya upinzani ndio waliokuwa watu wa kwanza kuishutumu tume ya katiba kwamba imechaguliwa na mwenyekiti wa CCM hivyo itawakilisha maslahi ya CCM, leo CDM na washirika wake ndio wamekuwa watu wa kumtukuza Jaji warioba kwamba ni mtu asiyestahiki kupingwa kwa jambo lolote ! lakini walisahau kwamba wao hawakulioni hilo mwanzo wakati Rais amemteua Warioba kuwa mwenyekiti.
Sasa huu kama sio unafiki ni nini? ina maana CDM wapo kupinga jambo lolote ambalo CCM watalisema hata kama ni jema kiasi gani, vipi jaji walioba anaonekana shujaa wakati kina LISU na wenzake waliikosoa sana tume hii?
unaongea pumba sana we zuzu
Wewe unaesema tusitarajie serikali 3 ni mbili tu tambua hizo mbili hazitadumu na ndio zitakazopelekea muungano kufa kabisa kwani hizo 2 ndio zilizopo sasa na Muungano upo kama jina lakini kivitendo haupo kwani Zanzibar wanaishi wakiwa katika nchi yao kamili kwa kila kitu.Watu wanashabikia serikali 3 kwakuwa tu Chadema inataka, always Chadema wako against na CCM! Ingekuwa CCM inataka serikali 3 Chadema wangetaka 2! Hawana sababu, Leo lao ni kuungana ili wachukue nchi maana Chadema Zanzibar haikubariki, Chadema iko kupotosha wananchi tu, viongozi wake wameshindwa kukiendesha chama itakuwa nchi? Chadema haina nguvu tena ndiyo maana wameamua kuungana na vyama peke yao hawawezi! Na Chadema ndiyo kiko mwishoni, na msitegemee serikali 3 hakuna kitu kama hicho.
Wabunge,Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na viongozi wa CHADEMA wanastahili sifa. Katika masahi ya Taifa,wako tayari kuungana na yeyote popote ili mradi tu maslahi ya Taifa yanalindwa na kutetewa. Wanaweza kushirikiana na mwanasiasa,mwanazuoni,mwanaharakati,mpendanchi na mzalendo yeyote na katika wakati wowote.
Wapo wanaoshangazwa na CHADEMA sasa kushirikiana na CUF na NCCR-Mageuzi katika kutetea Katiba mpya yenye masahi kwa wananchi wote.Wapo katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Pamoja na kuwa kila chama kilichopo UKAWA kila sera na malengo yake,tofauti zao zimewekwa kando kwa muda huu wa kuitafuta Katiba mpya. UKAWA wameivana na kuelewana kama waliotoka chama kimoja.
Wanasiasa wanapaswa kujifunza kwa CHADEMA.Wanapaswa kujua kuwa siasa ni hoja za wakati fulani ambazo si lazima zifanane kila uchao. Siasa ni mazingira na namna ya kujenga mantiki kutokana na mazingira yaliyopo. Siasa si kung'ang'ania jambo moja kwa muda wote eti tu kwasababu lina manufaa ya sasa. Vipi kuhusu baadaye?
Na wanasiasa wengine wangekuwa kama hawa wa CHADEMA,nchi hii ingekuwa mbali sana. Kila la kheri CHADEMA!
mjomba tunaposema cdm ni mpango wa Mungu huwa hatutanii .
Kumbe ww gamba ndo maana nlikua nashangaa kwenye ile mada .. Diaspora walikua wanatumia nguvu nyingi kukufafanulia vitu vidogo..Hata mpige zumari na matarumbeta CHADEMA imekwisha
Kwi! Kwi! Kwiiii !!! Habari za ujiji mkuu , vipi ile ziara ya MH KINANA , inasemekana kabla ya ujio wake barabara zote zilipigwa deki !
Kumbe gamba sugu.. Ndo maana huwezi jenga hoja.. Ndo maana diaspora walikua wanapoteza muda wao kukufafanulia mambo madogo..ccm inaabishwa na ninyi ambao hamwezi kujenga hoja.. Ni kutukana tukana tu na kutoa mipasho..bange na viroba vimekuwehusha
- Muungano unatakiwa kurekebishwa sio kuuvunja kisa hamjawahi kupata kura Zanzibar ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi wakubwa, kila uchaguzi mnashindwa halafu sasa kati kati ya mchezo mnataka kuhamisha magoli ili mshinde tu uchaguzi hatawezekana,
es
Kumbe ww gamba ndo maana nlikua nashangaa kwenye ile mada .. Diaspora walikua wanatumia nguvu nyingi kukufafanulia vitu vidogo..
Vitu gani nisivyovielewa kuhusu maisha ya diaspora? Nyie ndo msoelewa mada kazi kushupalia maneno ya khanga wanaume wazima
Chopa 3 kata 3
Hata mpige zumari na matarumbeta CHADEMA imekwisha
Ni aibu kijana kuwa hivyo.. Labda kama ni mzee..lkn km kijana ujipange uwe na uwezo wa kujenga hojaVitu gani nisivyovielewa kuhusu maisha ya diaspora? Nyie ndo msoelewa mada kazi kushupalia maneno ya khanga wanaume wazima