akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,115
- 4,462
Kwa miaka ya karibuni na kuendelea ccm imekataliwa kbs na wananchi walio wengi, inajaribu kufosi tu ionekane bado ipo ipo....ikitokea kunafanyika uchaguzi wowote ule wa wazi na huru ccm ndio kwaheri!.
Na ndio maana ccm ya sasa hv inapiganiwa sana na dola ili isavaivu kimabavu!.
Na ndio maana ccm ya sasa hv inapiganiwa sana na dola ili isavaivu kimabavu!.