Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
PINDA KABISA wewe, huna hoja.... Mahakama tangu lini ikatetea ugaidi ....???? Mkishindwa mahakamani ndo mnayatamka haya... MWenzio HAMY-D kaposti sehemu kuwa mahakama zetu ni corrupt kisa waliomshitaki SUGU wameshindwa kuthibitisha kuwa PUMBAVU ni tusi. Kwa hiyo kila mkishindwa mnailalamikia mahakamamnategemea mahakama iwatetee kwa ugaidi wenu ee?? vipi kwenye ugaidi wa kumwagia watu tindikali huko tabora.