sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,566
- 11,484
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo.
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au?
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao.
Je, yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?
Muda utasema. Tusubiri