CHADEMA ni bomu linalolipuka muda wowote

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,542
11,399
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?

Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo.

Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au?

Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao.

Je, yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?

Muda utasema. Tusubiri
 
Kuzungumza Vitu Usivyo Na Uhakika Navyo Ni Sawa Na Kupiga Ramli Tuu.
Umewasiliana Na Wabunge Hao Na Kujua Kwa Nini Hawakuhudhuria Vikao Vya Chama Au Kwanini Hawakuenda Kwenye Uzinduzi Wa Sera?
 
Ndio maana nakueleza kuna shida..kuna wakati unatakiwa utumie akili kupima vitu..majibu huwa yanapatikana bila kuuliza..tumia ubongo huu mzee.
Suzan kiwanga ni mbunge wa muda mrefu toka enzi za kina regia mtema..esther bulaya hawezi kuwa mbele ya suzan kiwanga
 
Ngoja tukutafutie Mwanachadema mmoja akushikishe ukuta na akutoe utumbo. Uwe na adabu
 
Mbona hilo linajulikana chama cha chadema huwatenga wale wote wanao-support serikal,Hii ni kutokana na ukwel kwamba chama hichi mshikamano ni zero kinazd kuporomoka na kuwa na waswas kuwa kinaweza kupoteza wabunge na wanachama wengi siku baada ya siku.Kwaiyo mtu akizingua tu Wana-mcancel iliwapate kisingizio kwamba walimfukuza na hakukihama chama ....
 
Ndio maana nakueleza kuna shida..kuna wakati unatakiwa utumie akili kupima vitu..majibu huwa yanapatikana bila kuuliza..tumia ubongo huu mzee.
Suzan kiwanga ni mbunge wa muda mrefu toka enzi za kina regia mtema..esther bulaya hawezi kuwa mbele ya suzan kiwanga
Dunia Ya Sasa Si Kama Zamani. Pamoja Na Maarifa Mengi Kuongezeka, Uzushi, Uongo Na Porojo Pia Zimekuwa Nyingi Sana Ndio Maana Ni Vizuri Kulihakiki Jambo Flani Kabla Ya Kulisema Mbele Za Watu.
Mfano, Unaweza Kuhisi Kuwa Jirani Yako Anakaa Tuu Ndani Hatoki Kwenda Kazini Kama Wewe Unavyotokaga Kila Siku Na Ukaenda Mbali Zaidi Kumtuhumu Kwamba Ni Mvivu Na Mzigo Kwa Familia Yake KUMBE Kwa Dunia Ya Sasa Na Technolojia Iliyopo Mtu Unaweza Fanya Shughuli Zako Zote Ikiwemo Biashara Au Kazi Za Kiofisi Ukiwa Nyumbani Kwako Bila Kwenda Mahala Popote. Ndio Maana Ni Jambo La Msingi Sana Kuhakiki Jambo Kabla Ya Kulizungumza.

Wazungu Wana Kamsemo Kao "No Proof, No Right To Speak"
 
Naona mnajaribu kubadilisha CD hahahaha hili mnalo na huko soko la hisa linaporomoka, alaf wale watu wa juhudi naona nao wanasikilzia upepo wa Mo uishe waanze hahahahahahaha wanaogopa watamezwa. Nchi raha sana hii, najiuvunia kuwepo na kushuhudia haya.
 
Mbunge au diwani yeyote anayemsikiliza Mbowe na kuacha kushirikiana na serikali ; je, huyo tutakosea kumwita Lofa,mpumbavu ,mwehu ,punguani na mwendawazimu zaidi ya aliyemuagiza?

Mbunge yeyote mwenye akili timamu na anayeongozwa na Mwenyeliti Mwenye akili na maarifa ya kutosha anajua kuwa uchaguzi ukiisha anapeleka hoja za wananchi wake bungeni kama mwakilishi wa wao.
Bunge likiisha anarudi jimboni kushirikiana na wananchi na serikali kuleta maendeleo sio kwenda Dar es salaam kuandamana na kumtukana Rais

Sasa tujiulize Mbowe anawakataza wabunge na madiwani wake kushirikiana na serikali wakati ruzuku inayotolewa na serikali hiyo hiyo anaipokea kwa mikono miwili huku ulimi ukiwa nje na mate ya kimdondoka kwa uroho wa kuitafuna.
Mbowe huyo huyo anawakataza wabunge wenzake wasishirikiane na serikali mpaka nje ya Bunge huku yeye akishirikiana na serikali hiyo hiyo kuitangaza kwa kutumia gari la Kifahari alilopewa kama msemaji wa kambi rasmi ya upingaji bungeni.

Mbowe angekua na msimamo na mkweli angegoma kupokea ruzuku toka serikalini .
Pi angegoma kupokea na kutumia gari la kifahari alilopewa na serikali. Vinginevyo huyu mtu ni mnafiki kuliko mwanasiasa na mwanaharakati yeyote aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kwa ubishi wa Mbowe na vibaraka wake Chadema inakufa kipindi hiki kizuri na ambacho chama kingeongozwa na mwenyekiti kwenye uwezo wa kutosha kingekua kwa urahisi na kwa kasi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwake.

Binadamu anapenda mabadiko ,Mbowe hataki Mabadiliko ndani ya chama. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Bob Wine kule Uganda jinsi wananchi hasa vijana walivyomkubali na kubadili upepo wa kisiasa kwa sababu ni sura mpya iliyoibuka.
Mbowe aache nafasi kwa Sura mpya kujitangaza na kuonekana ndani ya Chadema.

Miaka 25 vyama vya upinzania Tanzania vimeshindwa kutuletea Sura mpya za uongozi ndani ya vyama hivyo vya Kidikteta ; Mbaya zaidi Wenyeviti wa vyama hivyo wanapambana kufa na kupona , kwa hali na mali kuzuia na kuifyekeleeea kila sura mpya inapojaribu kufurukuta na kujijenga kisiasa.

Intelijensia ndani ya Chadema na kwenye mitandao ipo kwa ajili ya kuzuia ,kuwatukana na kuwatisha wale wote wanaomkosoa Mbowe kwenye mambo ya msingi kabisa.

Mbowe ni mwenyekiti anayependa kusifiwa tu na kuungwa mkono hata kwa hila zake za kukifanya chama kuwa mali yake binafsi na ukoo wake.
 
Hakika hawa watekaji wana upendo sana. Wamemteka, wakakaa nae siku 9 bila mateso yoyote. Kwa mujibu wa IGP walikua wanampa vyakula anavyovipenda. Na akikataa wanamlazimisha.

Hatujui vyakula hivyo walikuwa wanapika au wananunua. Bt hilo sio muhimu kwa sasa. Muhimu ni kwamba walimpa vyakula anavyovipenda. Akitaka burger wanamletea. Akitaka pizza wanamletea.

Baada ya kukaa nae siku 9 wakaamua kumuachia. Wakampeleka hadi viwanja vya Gymkhana. Bila kumdhuru wala kumsababishia majeraha yoyote. Wakampa na simu yenye credit na charge ya kutosha ili awapigie ndugu zake.

Wakamuamuachi na AK47 yenye risasi 19 ili wakitokea watekaji wengine aweze kupambana nao. Hakika hawa watekaji ni WALOKOLE waliompokea Kristo kuwa Bwana na mwokezi wa maisha yao. Hi ndiyo habari ya mjini.
tapatalk_1540058257434.jpeg
 
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Ndugu msiba si ukae kimya liwalipukie hilo bomu alaf wakikwisha uenjoy na vipeperushi kwa kumpamba malaika!!
 
Mbunge au diwani yeyote anayemsikiliza Mbowe na kuacha kushirikiana na serikali ; je, huyo tutakosea kumwita Lofa,mpumbavu ,mwehu ,punguani na mwendawazimu zaidi ya aliyemuagiza?

Mbunge yeyote mwenye akili timamu na anayeongozwa na Mwenyeliti Mwenye akili na maarifa ya kutosha anajua kuwa uchaguzi ukiisha anapeleka hoja za wananchi wake bungeni kama mwakilishi wa wao.
Bunge likiisha anarudi jimboni kushirikiana na wananchi na serikali kuleta maendeleo sio kwenda Dar es salaam kuandamana na kumtukana Rais

Sasa tujiulize Mbowe anawakataza wabunge na madiwani wake kushirikiana na serikali wakati ruzuku inayotolewa na serikali hiyo hiyo anaipokea kwa mikono miwili huku ulimi ukiwa nje na mate ya kimdondoka kwa uroho wa kuitafuna.
Mbowe huyo huyo anawakataza wabunge wenzake wasishirikiane na serikali mpaka nje ya Bunge huku yeye akishirikiana na serikali hiyo hiyo kuitangaza kwa kutumia gari la Kifahari alilopewa kama msemaji wa kambi rasmi ya upingaji bungeni.

Mbowe angekua na msimamo na mkweli angegoma kupokea ruzuku toka serikalini .
Pi angegoma kupokea na kutumia gari la kifahari alilopewa na serikali. Vinginevyo huyu mtu ni mnafiki kuliko mwanasiasa na mwanaharakati yeyote aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kwa ubishi wa Mbowe na vibaraka wake Chadema inakufa kipindi hiki kizuri na ambacho chama kingeongozwa na mwenyekiti kwenye uwezo wa kutosha kingekua kwa urahisi na kwa kasi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwake.

Binadamu anapenda mabadiko ,Mbowe hataki Mabadiliko ndani ya chama. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Bob Wine kule Uganda jinsi wananchi hasa vijana walivyomkubali na kubadili upepo wa kisiasa kwa sababu ni sura mpya iliyoibuka.
Mbowe aache nafasi kwa Sura mpya kujitangaza na kuonekana ndani ya Chadema.

Miaka 25 vyama vya upinzania Tanzania vimeshindwa kutuletea Sura mpya za uongozi ndani ya vyama hivyo vya Kidikteta ; Mbaya zaidi Wenyeviti wa vyama hivyo wanapambana kufa na kupona , kwa hali na mali kuzuia na kuifyekeleeea kila sura mpya inapojaribu kufurukuta na kujijenga kisiasa.

Intelijensia ndani ya Chadema na kwenye mitandao ipo kwa ajili ya kuzuia ,kuwatukana na kuwatisha wale wote wanaomkosoa Mbowe kwenye mambo ya msingi kabisa.

Mbowe ni mwenyekiti anayependa kusifiwa tu na kuungwa mkono hata kwa hila zake za kukifanya chama kuwa mali yake binafsi na ukoo wake.
Umeandika ujinga mtupu
 
Mbona hilo linajulikana chama cha chadema huwatenga wale wote wanao-support serikal,Hii ni kutokana na ukwel kwamba chama hichi mshikamano ni zero kinazd kuporomoka na kuwa na waswas kuwa kinaweza kupoteza wabunge na wanachama wengi siku baada ya siku.Kwaiyo mtu akizingua tu Wana-mcancel iliwapate kisingizio kwamba walimfukuza na hakukihama chama ....
Kuota ni haki yako
 
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Kamuulize babu yako wasira kilichompata na utabirbwake kabla ya 2015 kisha aliangushwa na mwanachadema kaacha utabir kwa sasa
 
Mbunge au diwani yeyote anayemsikiliza Mbowe na kuacha kushirikiana na serikali ; je, huyo tutakosea kumwita Lofa,mpumbavu ,mwehu ,punguani na mwendawazimu zaidi ya aliyemuagiza?

Mbunge yeyote mwenye akili timamu na anayeongozwa na Mwenyeliti Mwenye akili na maarifa ya kutosha anajua kuwa uchaguzi ukiisha anapeleka hoja za wananchi wake bungeni kama mwakilishi wa wao.
Bunge likiisha anarudi jimboni kushirikiana na wananchi na serikali kuleta maendeleo sio kwenda Dar es salaam kuandamana na kumtukana Rais

Sasa tujiulize Mbowe anawakataza wabunge na madiwani wake kushirikiana na serikali wakati ruzuku inayotolewa na serikali hiyo hiyo anaipokea kwa mikono miwili huku ulimi ukiwa nje na mate ya kimdondoka kwa uroho wa kuitafuna.
Mbowe huyo huyo anawakataza wabunge wenzake wasishirikiane na serikali mpaka nje ya Bunge huku yeye akishirikiana na serikali hiyo hiyo kuitangaza kwa kutumia gari la Kifahari alilopewa kama msemaji wa kambi rasmi ya upingaji bungeni.

Mbowe angekua na msimamo na mkweli angegoma kupokea ruzuku toka serikalini .
Pi angegoma kupokea na kutumia gari la kifahari alilopewa na serikali. Vinginevyo huyu mtu ni mnafiki kuliko mwanasiasa na mwanaharakati yeyote aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kwa ubishi wa Mbowe na vibaraka wake Chadema inakufa kipindi hiki kizuri na ambacho chama kingeongozwa na mwenyekiti kwenye uwezo wa kutosha kingekua kwa urahisi na kwa kasi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwake.

Binadamu anapenda mabadiko ,Mbowe hataki Mabadiliko ndani ya chama. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Bob Wine kule Uganda jinsi wananchi hasa vijana walivyomkubali na kubadili upepo wa kisiasa kwa sababu ni sura mpya iliyoibuka.
Mbowe aache nafasi kwa Sura mpya kujitangaza na kuonekana ndani ya Chadema.

Miaka 25 vyama vya upinzania Tanzania vimeshindwa kutuletea Sura mpya za uongozi ndani ya vyama hivyo vya Kidikteta ; Mbaya zaidi Wenyeviti wa vyama hivyo wanapambana kufa na kupona , kwa hali na mali kuzuia na kuifyekeleeea kila sura mpya inapojaribu kufurukuta na kujijenga kisiasa.

Intelijensia ndani ya Chadema na kwenye mitandao ipo kwa ajili ya kuzuia ,kuwatukana na kuwatisha wale wote wanaomkosoa Mbowe kwenye mambo ya msingi kabisa.

Mbowe ni mwenyekiti anayependa kusifiwa tu na kuungwa mkono hata kwa hila zake za kukifanya chama kuwa mali yake binafsi na ukoo wake.
Hivi mtu unawezaje kupoteza muda na chaji yako kuandika pumba kaisi hiki? Kuna watu kichwani kuna mb 1
 
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri

Sio la nyuklia kabisa mkuu
 
Hivi mtu unawezaje kupoteza muda na chaji yako kuandika pumba kaisi hiki? Kuna watu kichwani kuna mb 1
Mimi nawashawishi watanzania wampuuze na kumhesabu Dikteta Mbowe kama Mtu asiyefaa hata kwa dawa kuongoza Chama chenye kupigania demokrasia na usawa.

Ni kazi yako wewe kama muumini wa udikteta kuwashawishi watanzania kuona kuwa Udikteta unaojengwa na Mbowe ndani ya Chadema ni mzuri na unafaa kwa ajili ya taifa letu na vizazi vijavyo. Hakika nakuambia siku ikatokea Mbowe ameshika hatamu kwenye nchi hii kama mkuu wa nchi au mkuu wa Chama Tawala; huyu mbowe huyu angewanyonga wapinzani wake hadharani kwa sababu tu ya madaraka.

Ruhusu akili yako ikubali watu wengine nao watoe maoni yao juu ya uongozi dhalimu wa Dikteta Mbowe. Hiyo ndiyo demokrasia na Uhuru wa maoni mnaoutaka.

Dikteta Mbowe amewajengea hulka mbaya ya Udikteta kamili ,ndio maana mnataka serikali iwasikilize lakini nyie hamtaki kuisikiliza wala kumsikiliza mtu mwingine yeyote tofauti na Mbowe.
 
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Mku hao ni watu watatu wanaoishi hizo Itikadi za hicho chama

Na kumbuka ktk hayo Majimbo waliowachagua ndiyo wengi na wanaziishi Itikadi za hicho chama sijui tatu na wengi sijui jibu lako umelipata aje mpaka uwape mamlaka makubwa hivyo au walijichagua wenyewe
 
Umeandika ujinga mtupu
Jambo la msingi ni kwamba huwezi kunizuia kumkosoa na kuwaonyesha wananchi na viongozi wenzake ubaya wa Kujenga Chama cha Kidikteta na kuuenzi udikteta kamili wa Mbowe na genge lake. Ikiwezekana wamkimbie wote ili abaki peke yake kama madikteta wenzake kwenye vikundi vingine( TLP ,UDP,CUF na vikundi vingine vya upatu wa kujipatia ruzuku)
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom