CHADEMA ndio chama pekee cha kibepari duniani kinachotembeza bakuli la michango

Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Ulitaka tukukabe Jo🤔
 
Unasifia Chama ambacho viwanja vya mpira kilichoibia Wananchi vinakarabatiwa na hela ya Wananchi (serikali) lakini mapato ya kiwanja yanakwenda Chamani? Awali walikuwa wanaiba Sasa wanapora mchana kweupe.
Uwanja wa Namfua, Singida
1657098442208.png
1657098511807.png
 
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Says majizi wa kodi zetu. Kwa vile mbogax2 wamezoea kuiba kodi za watanzania wanaona gere wenzao wakichangiwa kwa hiyari kinyume na ukwapuaji wao.
CCkwapu kwapu tunawajua siye.
 
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
ccm ndo chama pekee cha kijamaa kinachofanya biashara dunian na kupora mali za matajir
 
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Inatakiwa ufe mapema sana
 
Mimi nilishangazwa sana na baadhi ya wasukuma wenzangu huku kanda ya ziwa kumpigia kura dr slaa pindi anagombea urais kwa tiketi ya chadema. Wasukuma na chadema wapi na wapi jamani, msukuma na mchagga mtawezana kweli kukaa meza moja!! Ni heri ukabakia neutral bila chama kuliko kuungana na chadema. My opinion
Chadema awali ilikuwa ni Club ya Mabwanyenye ila 1992 ikakopi Katiba ya Nccr Mageuzi na kujigeuza kuwa chama cha siasa
 
Back
Top Bottom