<br />endeleeni kuishi kwa matumaini tu sidhani kama cdm itakuwepo mpaka 2016
Nnajua inakuuma mpaka moyoni maana maandamano yenu ccm yalihudhuriwa na wazee tu,wamechoka kimawazo,kiakili,kiuchumi huku wamevaa t-shirt za "maisha bora kwa kila mtanzania"na bado mtafute pa kukimbilia wote mliohujumu uchumi(mafisadi)ikifika 2015chama cha msimu mngeiba kura??? yaani 2015 jasho litawatoka kama Gbagbo ....mtajifuta jasho kwapani mbele ya camera za waaandishi wa habari kudadadeki
duh mzee MTUKA NA ZENO NKOSWE bado wapo? duh iknow them ince 1980 ipo siku ntarudi swanga nikapaona katandala, mazwi,jangwani regina mundi, swanga wenyeji, izia, chanji, bangwe, kizwite dah nionje sute hahaaa JANGWAN INN ipo bado? tajiri BHOJAK bd yupo? BAINZ bd yupo? mpango kabambe wa maji pale, CHADEMA HOPE pande zote hizi mtafungua matawi
kheee natazama TBC1 hapa siamini nachokiona...duhhhh huu umati ni sumbawanga au wapi? mhhh 2015 kazi ipo ....
ukweli upi ama hizo porojo za kila siku tumechoka tafuteni wimbo mwingine
jipeni matumaini tu hii cdm sidhani kama itakuwepo 2015
jidanganyeni na umati wa vitoto
Mambo poa kabisa. Walisema CDM ni chama cha msimu sijui sasa watasema nini? Tuzidi kusonga mbele hadi kieleweke. CDM oyeee, Magamba ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ukweli upi ama hizo porojo za kila siku tumechoka tafuteni wimbo mwingine
<br />
<br />
Duh una masihala weye! Huo wimbo uneondoa kitumbua cha mzee makamba mdomoni pamoja na sekretariati, na hii impya imetoa siku 90 kwa mapacha 3, wewe bado haujakukolea.
Usitake nicheke.
Mzee Nkoswe aliyekua mwenyekiti wa ccm miaka ya themanini, nyumba yake ilikuwa nzuri sana, pale karibu na shule ya msingi Jangwani niliposoma mimi miaka hiyo. Ni habari njema sana!Nimepigiwa simu na bibi (ambaye ni mwenyekiti wa mtaa kupitia CCM),hali iliyotokea leo imeushangaza mji wa Sumbawanga. Anasema waanzilishi wa TANU wamerudisha kadi zao. Kuna Mzee anaitwa Nkoswe na mwingine Mtuka, walikuwa ni wanachama prominent w CCM miaka mingi sana. Wameamua kurudi kundini (CHADEMA).
Mkuu hao siyo wa Sumbawanga tu, walikusanywa watu wa mkoa mzima wa Rukwa kwa malori.Nimejifunza kuwa Watanzania wengi hawana shughuli za kufanya, hivyo kuwa tayari kujiunga kwenye tukio lolote litakalowachangamsha na kuwasaidia kuupoteza muda wa siku husika.
Hapa chini ni wana Sumbawanga walipoenda kumsikiliza Kikwete mwaka jana.
Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: MGOMBEA URAIS WA CCM DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE APATA MAPOKEZI MAKUBWA SUMBAWANGA LEO
Utaahira mwingine!!!!endeleeni kuishi kwa matumaini tu sidhani kama cdm itakuwepo mpaka 2016