Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano.
Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale wapenzi wa cdm karibuni tuwapokee wageni wetu.tujitokeze kwa wingi.

Nikiangalia picha za mikutano nilikuwa naona wanaohutubia wamesimama kwenye jukwaa makini, nikahisi ni floor ya gari. Kuna mtu ambaye anaweza ku post picha ya hilo gari? Huu ni ubunifu mzuri sana.

Mkuu bila mijenereta na mgawo wa giza nchi hii unadhani tunaweza kukamilish amisheni yetu?
Hata kama hakuna mgawo wa giza bado Magamba watafanya hila kutunyima umeme; Umesahau Mwakipesile alivyoamuru Tanesco wamzimie umeme Dr. Slaa kule Mbozi, au John Mnyika alivyozimiwa umeme pale Kimara? Na mifano mingine mingi tu ya aina hiyo.
swaaaafi saaana CHADEMA msisahau basi kwenda na wilayani Tunduru, mbinga, namtumbo mpaka ziwani nyasa huko katoeni magamba yote yaiyobakia wekeni mwanzo mpyaaa tunataka 2015 tusafishe magamba yooote.
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!
Mkoa wa Ruvuma bado umetawaliwa na Magamba.... Wasisahau kupita wilya zote za mkoa wa Ruvuma... Songea, Tunduru, Mbinga na Namtumbo manake hawavijui vyama vingine zaidi ya hayo magamba!?