Si utani wala uongo kwamba hata mbunge na waziri mdogo wa mambo ya ndani Hamis Sued Kagasheki alikuwepo akiwasikiliza jamaa wakiichambua serikali lakini alikuwa amejificha ndani ya msikiti ulio karibu na uwanja huo wa mkutano. Kwa nini aliamua kufanya hivyo, anaweza kuja na kujibu mwenyewe!
Kaa la moto. Ukilishika unaungua mwenyewe