Ruzuku za shule, zahanati, hospitali na vyuo vya makanisa kwa ajili ya WATANZANIA wanaopata huduma hizi za kijamii pale ambapo serikali yetu haiwezi kuwafikia Watanzania au huduma yake haitoshelezi. Makanisa yanaendeshwa na waumini wao. Na vyama hivi vina wanachama wao tena tunaambiwa kwa mamilioni. Wanapewa kodi zetu za nini?