Chadema nao wanakula bila kunawa

chadema nao kumbe wanatafuna mapesa yetu bila kuwajibika mbowe anazitafuna tu hizo na kusingizia anajilipa madeni.

Jenifa are you married or Single?

Anyway, regardless of whether you are married, divorced, single or "booked", I think you are suffering a very serious disease we call "mental retardation" na sasa mental yako ime-stuck.....it is a result of chronic marital-relation affairs complications inayokusababishia very chronic social stress............... Either from your husband/or boyfriend or kukosa mume/mchumba wa kukupa ile iktu unatakiwa kupata........ '

You need to undergo some medical check-up and treatment as soon as it is possible.......zaidi unamhitaji mwanasaikolojia aliebobea nenda zungumza nae matatizo yako atakusaidia
 
Hujui usemacho ww ni bora unyamaze, kila siku makanisa yanapata ruzuku za mashule yao na zahanati zao , halafu unasema nini? Tshs 600 bn kwa mwaka wanapata

Ruzuku za shule, zahanati, hospitali na vyuo vya makanisa kwa ajili ya WATANZANIA wanaopata huduma hizi za kijamii pale ambapo serikali yetu haiwezi kuwafikia Watanzania au huduma yake haitoshelezi. Makanisa yanaendeshwa na waumini wao. Na vyama hivi vina wanachama wao tena tunaambiwa kwa mamilioni. Wanapewa kodi zetu za nini?
 
Naona msimamo wako haujabadilika tangu enzi hizo! hata mimi bado niko palepale; wanachama wao wachangie
 
Simple minded. nimesoma habari yote sijaona anapotajwa Mbowe au Slaa kutumia kwa Mke au Mbowe kulipa madeni. Maoni yako yapo too biased kwa sababu tatizo sio kufuja bali kutowasilisha hesabu kitu ambacho hakitoi conclusion ya moja kwa moja kuwa vyama husika vimetumia vibaya fedha hizo.

Naona mwandishi ana bifu na mbowe na slaa maana ripoti inaongelea vyama vyote
 
Naona mwandishi ana bifu na mbowe na slaa maana ripoti inaongelea vyama vyote

ccm mafisadi je hawa wasafi chadema mbona nao wanakula bila kunawa. hizo pesa mbowe analipia madeni yake
 
Naona msimamo wako haujabadilika tangu enzi hizo! hata mimi bado niko palepale; wanachama wao wachangie

Nimeiona ile thread Waberoya. Sina pa kulisemea nikasikilizwa. Tunagharamia sana siasa kwa kisingizio cha democrasia. Watu wanatamani na wanataka sana CCM iondoke madarakani. Sio rahisi kama RUZUKU ipo tena kiwango hiki.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom