Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Nani kakuambia mimi chadema, Kumbe na wawe NYANI pia. Am too busy kuwa mfuasi wa chama chochote. Mauchawi na mauongo ntayaweza wapi? Making money is more important to me. Wewe KIMA endelea kua mfuasi wa wala pesa. Huo ndio UKIMA
Ndio mapenzi yalivyo, baada ya miezi 9 kutematema mate, kichefuchefu kitaisha kabisa trust me
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:
Wakati WEWE BINAFSI unaichukia Chadema MOYONI mwako, SISI tunaipenda CHADEMA "MIYOYONI MWETU" na KUICHUKIA CCM Miyoyoni mwetu na NAFSINI mwetu!! Tupo wengi milioni kadhaa na TUMEPAGAWA na CDM kwa dhati kabisa!!ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth: