CHADEMA na watanzania wote washington dc, maryland, virginia kuaga 2012 pamoja

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
View attachment 75095View attachment 75095View attachment 75095View attachment 75095View attachment 75095

CHADEMA na watanzania wote Washington DC, Maryland, Virginia na east coast kuaga 2012 pamoja. Ni kukutana kwa ajili ya holiday season, kujadili yanayo jili nyumbani na kwenye mazingira yetu. Mtu yeyote anakaribishwa bila kujali itikadi wala imani yake. CHADEMA HAIBAGUI, IPO KWA KUTENGENEZA MSHIKAMANO ZAIDI, ESPECIALLY KWA NCHI AMBAZO TUPO ZA WATU. WATANZANIA KARIBUNI TUSHIRIKIANE KWENYE SHEREHE HII.
 
Back
Top Bottom