Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hakuna shaka kabisa kwamba chadema hawana tofauti na wanawake kitabia, Wanawake huwa wana tabia moja kwanza huwa hawawezi kusema Ndiyo au Hapana, na ndiyo au hapana yake utaijua kwa matendo yake, kama amekukubali hatokwambia ndiyo nimekubali bali atakuonyesha mambo ambayo wewe mwenyewe utapata picha kwamba kakubali vivyo hivyo chadema walipinga hapa matokeo ya uchaguzi tena fisadi Lowasa alisema kwamba hayatambui na hivyo hamtambui Raisi wa JMTZ na hata chadema walitoka Bungeni Raisi Magufuli alipohutubia Bunge, lkn kila siku zinavyozidi kwenda fisadi Lowasa na chadema kama vile wanawake walivyo hawajawahi kukanusha na kusema kama Mwanaume aliyekamiilka na lijali kwamba ndiyo tumeshindwa uchaguzi bali kila siku wanatoa signal kwamba wamekubali, mara nyingi wanamsema Raisi Magufuli kafanya hivi na vile mara wanamtaka Raisi Magufuli ashughulikie Zanzibar, sasa hivi wanatoana ngeo kuhusu Kamati za Bunge za kusimamia Serikali ya Raisi Magufuli, hivyo chadema ni kama Wanawake kitabia!