Chadema na Ushirikina wa Loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na Ushirikina wa Loliondo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by John10, May 15, 2011.

 1. J

  John10 JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa kuona chama chenye fikra za kuwa na mwelekeo mpya, kuwa na mawazo ya kizamani. Chadema kuwapeleka watu kwa "Babu" kutibiwa!!, inasikitisha!

  Taifa linahitaji fikra za kuwatoa WTZ ktk UJINGA, na siyo kuwapeleka ktk UJINGA. Chadema kushangilia na kudhamini kuwapeleka WTZ kutibiwa kwa njia ya "miujiza" kwa "babu" ni kuonesha kwamba Chadema hakitoweza kuliondoa Taifa ktk matatizo tuliyokuwa nayo.

  Nawashauri WTZ wenye mapendo na TZ, kuacha kuamini Chadema ndiyo solution ya matatizo tuliyokuwa nayo. Moja ya matatizo makubwa tuliyokuwa TZ, na Afrika kwa ujumla ni fikra za Ushirikina. Karne ya 21 ni sayansi na technologia, kwa mantiki hii, Chadema hakina mwelekeo mzuri kwa WTZ.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kabla hujawashutumu Chadema, anza na viongozi wa chama chenu waliotinga huko. Sikukusikia unahoji walipotinga akina Lowassa, akina Wassira na akina Mkono. Pili, Mzee wa Loliondo si mshirikina. Ni mcha Mungu, mtu anayefuata maadili ya kidini. Huwezi kumlinganisha hata kidogo na Sheikh Yahya, au wale washirikina wanaokwambia kwamba upeleke jogoo mweupe/mweusi watoe kafara kwa mashetani wao.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  tena ukome kuwa mpuuzi wa karne ya 21
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  That was a mistake on the part of CDM for sure and puts a shadow over it.That said and done however,do we have a better alternative,certainly no.
   
 5. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha kuwa na fikra mgando!hv wawapi kwanza we vle!magamba yenu wamepeleka wangapi,mbona wao wenyewe vinara wa kwenda kwa babu,ulishamsikia wa cdm anaenda huko?kwanza na magamba yenu wote mnaumwa mpaka mawazo ni ya watu wanaoumwa!km nikuwapeleka nikuwasaidia wenye uhitaji!boreshen huduma ya jamii kwanza ndo ulete huu upupu usiokuwa na maana hapa
   
 6. J

  John10 JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mie sipo CCM, bali ni MTZ mwenye kutaka maendeleo ya nchi, bila ya kuwa na itikadi ya chama chochote. Lowassa na wenzake kwenda kwa huyo "babu" ni mfano kwamba TZ hatuna viongozi bora, na kama tutaendelea kuwa na watu kama kina Lowassa, basi nchi yetu haitakuwa na maendeleo.

  Karne ya 21, ni sayansi na technologia, wanaokwenda kwa sheikh yahya, kwa "Babu", wote ni washirikina, na wale wanaomini mambo hayo pia ni washirikina.

  Ushirikina ni UJINGA.
   
 7. T

  Tabby JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,895
  Likes Received: 5,527
  Trophy Points: 280
  Please learn when to cast your stone!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  MTAGUSA KILA PAHALA, LAKINI MTAGUNDUA(KWA KUCHELEWA) KUWA NAPO PANATELEZA!
  Nyie watu kweli mmekosa hoja, mpaka sasa tunatafuta hoja za SAMUNGE kama utetezi baada ya makamanda wa cdm kupangua hoja zote za kipuuzi za VUVUZELA NAPE!
  kWELI mko kwenye hard time!
  Labda nikufunde kuwa ishu ya Samunge achana nayo!...Hii haina itikadi, ni ya kiimani zaidi!
  Masuala yenye itikadi ni ya Barabara, Hospitali, Majisafi, ambayo MAGAMBA mmeshindwa kwa 90% kuyasolve kwaajili ya Watz.

  Cdm INAWSIKILIZA WATU WA gRASSROOT wanachotaka...Kama wataamua kwa kauli moja kwamba wanaamini(imani) kuwa dawa ya babu itawaponya, then Jukumu la cdm ni kuwawezesha kama watakuwa na means!
  Haiwezekani kuwakataza kwenda huko, maana ccm hAINA MAJIBU YA MASUALI YAO YA AFYA!

  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
  [​IMG]
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kwanini usiwalaumu baba zako ccm kwa kushindwa kuwatatulia matatizo ya magonjwa mahospitalini hata wakaamua kwenda kwa babu?

  Watz unaowashauri wasiende LOLIONDO umewapa njia mbadala ya kufanya?

  Unapowalaumu cdm kwa kushangilia mambo ya babu, mbona ucwalaumu baba/mama zako ccm ambao wametoa ulinzi na huduma nyingine za kijamii kwa babu?

  Ucsahau kuwashauri baba/mama zako ccm vigogo ambao wamekuwa wakifurika KWABABU kupata kikombe pamoja na kuwa wengi wao wana international health insurances,

  Nenda kwa hoja na si vioja na vionjo!
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nakuonea huruma sana. Wewe ndio utakuwa kuni huko jehanamu kuwachoma wenye dhambi! Unamlinganishaje babu na sheikh yahya? Babu amekuwa akijieleza vzur kuwa ametumwa na Mungu na sheikh yahya nae ametueleza mara nyingi kuwa anatumia majini. Huoni kuwa unalinganisha mbingu na pepo! Au jina lako ni la bandia? Huna dini wewe? Au ni pesa mnazopewa na chama cha mafisadi ndio zinakufanya umkufuru Mungu? Kumbuka kuna maisha baada ya kifo!
   
 11. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  una uhakika kama loliondo ushirikina ndo unatumika mkuu? unawezaje pingana na reports za wana sayansi na WHO wakati nafahamu huna hata kifaa cha kupimia maji yako ya kunywa?
   
 12. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  slavely mentality, kwamba dawa ya babu ni ushirikina but asprin metranidazol ndo dawa halali. wazungu walitumaliza.
   
 13. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duu jamaa kalalamika et ipo wapi thread ya "chadema na ushirikina?". Hii ndiyo Research yako mkuu?, 2pe contents za research yako na hypothesis testing ulizofanyia hyo research.
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza, na siku ya kufa nyoka mashimo yote huziba na vichaka vyote huteketea....! Kaseme umefika, maana heri wanaowasikiliza watu kwa wanachoamini kuliko wanaokesha wakijitahidi kuvua magamba bila mafanikio....!
   
 15. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watu kama john10 lazima wawepo ili dunia iweze kukamilika kwa hiyo msimlahumu sana.
  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako.
   
 16. s

  sha Senior Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu tupe mbadala wa chadema au kwako wewe ni bora tubaki tulipo?????????????!!!! Kwani kama magamba waking'olewa kipi kitakacho shindikana kuwaondoa wao chadema pia pindi watakapoonyesha udhaifu????????!!!1
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ametumwa na chama cha kuvua maganda,sorry makamba, no magamba.
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  JF bwana,
  kuna watu wengine wamekosa kabisa fikra hasa aliyeanzisha hii thread, sijui ni chuki,njaa, hisia au anataka threa yake ichangiwe sana???
   
Loading...