Chadema na umalaika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na umalaika.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nakapanya, Jun 3, 2012.

 1. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Awali ya yote naomba niseme namshukuru mungu muweza wa yote kwa kutuwezesha kuwepo tena kwa siku ya leo,poleni wagonjwa na poleni wote mliopoteza watu wenu wa karibu,amani iwe kwenu wote wenye shida mbalimbali,mtegemee mungu na mtayashinda yote,Amen.
  Nirudi kwenye mada yangu;kwanza niseme mimi si mshabiki,mnazi,mkereketwa,mwanachama,au kada wa chama chochote kile cha siasa.Ndugu zangu wa CHADEMA naomba niwaambie kitu;hakuna mtu au kundi la watu lisilo na makosa au kasoro,unapokuwa na makosa au kasoro jiua wazi kuwa utakosolewa na kukosolewa ndio mwanzo wa kujirekebisha na kujijenga upya kwa ufanisi zaidi,cha ajabu ndugu zetu nyie hampendi kukosolewa kama vile nyie ni malaika na hamfanyi makosa,mnakosea sana.Ikitokea mtu akaikosoa CHADEMA ujue atashambuliwa kwa kila aina ya kejeli,matusi na lugha zote mbovu.
  Wao wanaona kauli zote na mabo yafanywayo na viongozi wao na wanchama ni sahihi na hayahitaji kukosolewa ila akisema wa CCM yote huwa ni mabaya na ni pumba tupu,tunakosea hatuendi hvyo kubalini kukosolewa ndipo mtafika mbali.Au mnataka kuwa kama mfalme ****?ni hayo tuu.GOD'S GREAT ALL THE TIME.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ngoja Niaze mimi " Usijifanye kuwa huna chama wewe ni gamba na hiyo ilikuwa ni geresha yako kusema sio mwanachama wa chama chochote mbona chama chenu kilasiku kinafanya makosa tena yanayolitia Taifa kwenye umaskini wa kutupwa lakini mkiambiwa mnajitetea. CDM kilishadhika dola? Mfuate Nape ukachukue ujira wako kwa thread hii ya kijinga pambaf"
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Precise pangolin achana na hili gamba litakupotezea wakati
   
 4. s

  slufay JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mchumia tumbo njaa lazima atukuze japo apate ukuu wa wilaya
   
 5. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,804
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280

  ndo ukamanda huo unapambana na kila kinachokuja!
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nikisema sana, nitasekwa kapuni acha nipite tu!
   
 7. m

  mharakati JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  waandikie kiingereza hawa wachagga hawajaenda shule..watashindwa kukuelewa na hivyo watashindwa kukutukana..watakaochangia watakua wale wasomi kidogo waalio na kazi na wanataka mageuzi huku wakiwa sober na realities zilizopo za mapungufu ya CDM.
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  "WIVU ni dhahabu kwa MPUMBAVU"
   
 9. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Kwanza nshukuru kwa kunisemea na kunvika uanachama,pili nimepata picha kwamba wewe huwezi bishana kwa hoja bali matusi kwa maana hiyo wewe si saizi yangu.
   
 10. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Sawa bwana gwanda,ila nakushauli usiwe mtu wa kwenda matukio,usiwe mshabiki,fikiri kwa kina na ulete hoja.
   
 11. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa nicheke kijana,si ndio fikra zenu kila asemaye ukweli anataka ukuu wa wilaya,je wewe unataka cheo gani cdm wakishika dola?
   
 12. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Nami nakuambia "Kujitenga na uovu ni chukizo kwa wapumbavu".
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbona huwa tunakikosoa chama na viongozi wake!?. Kajipange upya.
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  CHADEMA wanakosoleka vizuri tu.

  Mbona mimi nimewabana wajenge hoja yenye mantiki na ushahidi kuhusu mkakati wa chama kudhibiti mfumuko wa bei sijapata majibu?

  This business of looking at things in a simplistic dichotomy is only fit for closed minded simpletons.

  The truth is always more complex than apparent.
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni uvivu wa kufikiri tu wa gamba.
   
 16. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Ningependa kujua kati yangu na yako nani mvivu wa kufkiri?
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Gamba la kobe at work
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wewe unatafutia watu ban huna lolote kajipange ufikirie kutumia kichwa badala ya masaburi uliyotumia kuanzisha hii thread
   
 19. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Well done mwosha magamba. Ukitoka kuchukua posho yako kwa Nepi njoo uanzishe thread nyingine yenye kichwa cha habari "The godliness of CCM", A.K.A " Uungu wa CCM". Afu pale kwa Nepi usikae sana, nasikia ana katabia kachafu.
   
 20. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Loo, kweli ungependa ujue...! Usiwe na wasi wasi iko siku utabahatika kujua lakini angalia wakati ukuta. Unadai mara oh, Chadema haikosolewi, Chadema si malaika...haya madai unayatoa wapi? Je hii posti yako inafanya nini au unataka kila mchangiaji akuunge mkono kwa hili dai la kipuuzi. Toka lini magamba wakaisifia Chadema, toka lini Nape akakaa kimya CCM inaposhutumiwa na mbona hata wewe umeshindwa kuficha hofu yako kwa Chadema! Get a life Nakapanya na jaribu kukaa mbali na paka, labda utabahatisha usalama wa muda shimoni kabla moshi haujaenea!
   
Loading...