CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,410
Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.
 
hujui ukisemacho

Hua mnaanza baadae mnasanda

Nyie anzeni tu kesho...then kitakachofuatia ni kupotezwa

Hahahahahah....tumewaachia siku hizi mbili mnaanza kujifanya mnajua kuongeaaaaa
 
He he hee heeeee hangaika na yako mzee ukawa hawaigi swaga za ccm....
 
hujui ukisemacho

Hua mnaanza baadae mnasanda

Nyie anzeni tu kesho...then kitakachofuatia ni kupotezwa

Hahahahahah....tumewaachia siku hizi mbili mnaanza kujifanya mnajua kuongeaaaaa
Hahahhahhahahaaaaaaa! Huku nakokupanic kwingine. Kumbe hata kesho hamzindui kampeni?
 
Ww unawaza kwa kutumia kitobo! kupanic! kupanic! hujui maana ya kupanic wewe? kupanic ni kuanza kufanya mambo bila mpangilio! kukaa kimya kwa ukawa ni dhahiri wanajua namna mchezo huu unavyochezwa! unataka tuanike first eleven yetu mje kutuhujumu! utasubiri sana gamba mkubwa wewe!
 
hahahahha....Lizabon umetsha.....agenda ilokibeba cdm waliilowesha wenyewe bila kujua nini kitawakuta....sasa hivi wanadai wanataka mabadiliko.....hawasemi ni mabadiliko gani
 
Wew mwanaccm yanakuhusu nn??yan unakaa na kupoteza muda kuandaa ramli za kusadikika juhusu mpinzan wako.ni mjinga pekee unaweza kumshawishi na vipropaganda vyako vya kitoto na vya kijinga.
 
Mbona umepanic sana kaka? Naona Lizaboni kakupanikisha
 
Wew mwanaccm yanakuhusu nn??yan unakaa na kupoteza muda kuandaa ramli za kusadikika juhusu mpinzan wako.ni mjinga pekee unaweza kumshawishi na vipropaganda vyako vya kitoto na vya kijinga.
Mwingine huyu kapanic
 
Hadi sasa politics possession mnachezea 13% chadema/ukawa 85% halafu matawi yenu yote yanachezea 2% kwa ujumla wao! we endelea kutoa macho JF sisi tupo field tunakaba mtu kwa mtu!
 
hahahahha....Lizabon umetsha.....agenda ilokibeba cdm waliilowesha wenyewe bila kujua nini kitawakuta....sasa hivi wanadai wanataka mabadiliko.....hawasemi ni mabadiliko gani
Kaka Ruzibiza, Lizaboni hajakosea aliposema wamepanic. Hata hayo mabadiliko hawajui ni mabadiliko gani. Ni hasi ama chanya? Hawatuambii
 
Hadi sasa politics possession mnachezea 13% chadema/ukawa 85% halafu matawi yenu yote yanachezea 2% kwa ujumla wao! we endelea kutoa macho JF sisi tupo field tunakaba mtu kwa mtu!
Duh! Kwa bahati nzuri game ya politics inachezwa kwenye ballot box
 
Hiv badala ya kufurahi kuwa chadema ...imeshindwa manalalamika nn ???
 
Mkuu Lizabon hawa jamaa ni kama wako ndani ya ndege na wamepoteza mawasiliano kabisa na waongoza ndege. Hebu fikiria hali inavyokuwa hapo. Na bado watapanic sana mwaka huu. Subiria siku matokeo yakitangazwa utawasikia, "tumeibiwa kura"!
 
Back
Top Bottom