Chadema na Ukawa hawakubali Ushauri, Wanaanza Kunitia Hasira!

Chadema na Ukawa hawakubali Ushauri, Wanaanza Kunitia Hasira!

Marandu pole sana
hivi unajua alietunga wimbo wa CHADEMA yuko kwenye medianow analia kutelekezwa?
hivi unajua mawakala wa CHADEMA wengi uchaguzi uliopita walishinda njaa vituoni?
na wengi hawakulipwa chochote hadi leo?
na wengi hata simu za wagombea tu hawana?

Imagine mtu kamlindia kura Halima Mdee hadi kashinda
halafu mtu huyo hakulipwa hata kkurudishiwa tu hela yake aliyoitumia kula na nauli
halafu huyo mtu hata Halima Mdee kumuita tu na kumwambia ahsante ya mdomo wapi...

CHADEMA wana safari ndefu mno kwenye organization...
Ndio Upuuzi wa Kupuuza watu Niliousema, This Guys Ni sawa na The story of a Goose and a Golden egg. Kwa Kuing'ang'ania Ruzuku na Fedha Mwisho watazikosa. Wazitumie Ziwasaidie Kisiasa hawasikii Well soon watu wataacha Kuwasupport.
 
Nakubali Ni Ngumu Kazi zao, Nakubali Ni Mateso, Lakini Tunashauri Tukiwatakia Unafuu na Mafanikio Makubwa zaidi. Wanapoziba Masikio Tunaona ni dharau na hata huruma zetu zinaisha. Unadhani Ni Rahisi Mtu Mwenye Maisha yako Kupingana wa Watu waonezi Kila siku kwa Nguvu zote? Nimejitahidi Niwezavyo Na hata Sina Hata Kadi ya Chama Chochote. Angalau wasikilize Ushauri wa Kuwasaidi wao na Taifa, sio Kutoka Kwangu tuu maana Naweza Kuwa Naongea Utumbo, Na Kwa wengine Pia.

Mkuu..ushauri wako unasikilizwa sana tu....unasikilizwa mno...lakini pia na wewe u need to appreciate ugumu wa kazi hii ulivyo...hasa ukiwa field....Ni rahisi sana kuongea tu.

Kuna watu ambao wamejitolea hata uhai wao kwa ajili ya Chama...RIP Mawazo

Kuna watu wamekuwa vilema wengine wamefilisika kwa sababu ya Chama

Wengine wamepoteza kazi

wengine wamepoteza familia

Hii kazi sio ndogo........Wakati tunathamini mchango wa kila mmoj akati yetu ikiwemo na wewe...lakini pia tunatambua kuwa si kila wazo la mmoja wetu litatekelezwa...lazima tuweze ku balance kutokana na resources tulizonazo
 
Wawajenge Vijana Wao Wenye Vipaji vya Miziki, na Senema, Watumie Watu Kuanzisha Redio na Television, Na sio Unaenda Na Kuonyesha Wazi Kuwa Hii Redio ni ya Chadema, au Huyu Mwnamziki Ni chadema etc. Mimi Naamini Pesa hazijawahi Kushindwa Kitu. Mengine siwezi Kusema, Ila Kwa Kutumia Fedha Unaweza hata Kulipa OCDs RPCs etc Wakufanyie wewe Kazi. Counter Hujuma, Maana dawa ya Moto Ni Moto! Namlamba OCD Milioni 300 Naenda Kyela Arusha napiga Mkutano FFU wanakuja Kuzuia Mkutano Lisaa 1 na Nusu Baada ya Mkutano Kwisha Kisa? Walipotea Njia! Tunamwahidi, Akitishiwa Ajiuzulu Mbele ya TV, Tunamtwanga Mtaji wa Bilioni 3 CCM Kutakalika? Dawa ya Hujuma Ni Kumhujumu anayekuhujumu, Wakati wa Vita Baridi, Nchi za Ukomunisti Mawaziri Wengi Walikuwa Katika Pay Roll ya CIA, Kuna Ubaya Gani Ma OCD na Ma RPC Mkatumia Fedha za Ruzuku na hata Michango Mkawaweka kama 10 hivi kwenye Pay-Roll Nono Luliko wanayolipw.a na Serikali? Nakwambia Ningekuwa Katibu Mkuu Chadema CCM hata Panadol isingemaliza Maumivu Ningewapa.
Mimi huo mchezo siupendi, mambo yata get ugly sna wote tukiamaua kufanya uchafu, na nafikiri sio lazima chadema kushika dola bali kuikosoa serikali na ku expose mambo yake
 
TL. Marandu
Usiwe hata na wasi wasi,hamna mwana CHADEMA yyt wa kuandamana
CHADEMA itapata aibu Sept 1
Labda ndiyo watakaa chini kujiuliza kwa nn watz sasa wana wapuuza!!

Wewe Gamba tulia Lumumba hapo usubiri buku 7 zako. Sisi tunasubiri tarehe ifike wewe unasema
hakuna atakaye andamana? wewe nyamaza kwanza tunaojitambua tufanye yetu septemba mosi.
 
Hapo ndipo wengi tunaingia kwenye mtego mkuu siasa sio mtu ukisema slaa ndio kiongozi wako wakati hayupo kwenye siasa unapoteza muda wako bure kwenye siasa.

Siasa ni sera itikadi na katiba za sheria zake kama CDM bado inaendelea kutetea wananchi inaendelea kupambana na ufisadi ina sera nzuri kwa raia hiyo ndio siasa yangu hata aongoze nani tutaenda naye kwa kwa itikadi hiyo kinyume chake siangalii watu.

Mfano ukimtoa magufuli nje ya ccm na sera zake ni kiongozi mzuri ukimchanganya na (ccm ina wenyewe ) ndio unasikia kinachotokea coz hawezi kutenda nje ya sera na itikadi za kiccm baasi.
CCM na CHADEMA wote hovyo tu,hamna wa afadhali hapo
Kidogo Dr Slaa alikuw ana uwezo wa kuikemea CCM
Mbowe alijimaliza mwenyewe kwa kumpa nafasi mtu ambaye miaka yote walikuwa wanatauambia kama hafai
Baada ya Sept 1 na sisi CHADEMA tutakuwa na maandamano yetu kushinikiza Dr Slaa arudishwe bila masharti yyt
 
Wewe Gamba tulia Lumumba hapo usubiri buku 7 zako. Sisi tunasubiri tarehe ifike wewe unasema
hakuna atakaye andamana? wewe nyamaza kwanza tunaojitambua tufanye yetu septemba mosi.
Kyela HAMNA maandamano ya UKUTA
Nipo hapa
Fanyeni intelijinsia yenu mtagundua kuwa Kyela hamna UKUTA
Kama maandamano yetu ni ya kanda hapo sawa lkn Kyela hayapo
Hatuna chochote tunachopata kwa CHADEMA zaidi ya kutiwa mahabusu
Tumeshtuka
 
Mimi huo mchezo siupendi, mambo yata get ugly sna wote tukiamaua kufanya uchafu, na nafikiri sio lazima chadema kushika dola bali kuikosoa serikali na ku expose mambo yake
Self Defense must employ the same weapon as your enemy if not superior!
 
...
Mbowe alijimaliza mwenyewe kwa kumpa nafasi mtu ambaye miaka yote walikuwa wanatauambia kama hafai
...
Cha kushangaza ni huyo huyo Mbowe anayetaka sasa kutuaminisha eti Magufuli ni dikteta, baada ya kutuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi. Hivi huyu Mbowe atabadili gea ngapi angani?
 
Cha kushangaza ni huyo huyo Mbowe anayetaka sasa kutuaminisha eti Magufuli ni dikteta. Hivi huyu Mbowe atabadili gea ngapi angani?
Mbowe kashindwa
Siku yao ya UKUTA sisi Kyela tunakaa home tunajichomea tu mbuzi
Then kesho yake Sept 2 tumeomba kibali tukafanye usafi Kyela hospital kwa waliopo mjini
Ipinda hospital kwa kata za Ipinda
Tumeshtuka sasa hatupati ng'oo
 
Back
Top Bottom