Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Hoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k ambako kuna mchanganyiko wa makabila. It is too late now for sisiemu kusema CHADEMA ni chama cha wachaga!! Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena na sisiemu. ahsante sana tibetram, kikwete na wenzake hawana tena hoja, walipoona chadema ni chama cha kitaifa sasa wamekuja na hoja ya udini
Acha u***ge wewe.Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Mifano halisi iko mbele yako kila siku; wewe pita kwenye duka lolote la mchaga ambalo liko karibu halafu taja mtu yoyote aliyeonekana kutaka nafasi ambayo mbowe kashika au mbowe anaitaka alafu utasikia maoni yake. Maoni yake hayatasema hiyo ni demokrasia; maoni yake yatakuwa huyo mtu anayetaka nafasi hiyo anayoitaka mbowe lazima ana kasoro. Au mtaje mtu yoyote mwenye mtazamo tofauti na mbowe ndani ya chadema; utaambiwa huyo mtu anakasoro.
Of all the problems happening you have just happened to See Ukabila..... Kweli we all see what we want to see........ Look yourself in the mirror.... you are your own worse enemy..... you dont see the capability of people but their tribal backgrounds...... so they should just mix people because they need a mixture of tribes? look at the party history maybe you might find the answear... as time goes on and the party is appreciated more on other parts then the mixture will be more.....
how come you dont comment on CUF having more people from Zanzibar? since that is your expertise...
mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
ukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.
chaga development manifesto(chadema) source ya chadema akili kumkichwa
Arguments zako ziko very weak Coca Cola, ina maana CCM walivyokuwa wanapinga mtu asimchallenge Kikwete ina maana wote ni wakwere? au Lipumba anapogombea kila uchaguzi, CUF ni ya wanyamwezi? Haijalishi nani anaongoza, tunajali results, kwa mfano;kama Mchaga atatuletea Katiba mpya watakaofaidika ni watanzania wote, regardless of their ethinicity.Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).