CHADEMA na TBC kunani?

TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.

tukiwapanga wewe na lema.kisha tukaambiwa tuchague mwenye busara na shupavu, lema atakuongoza!
 
TBC inaheshimika sana duniani,
haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa
kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni
hayakuwa mazuri.

Kwel wewe n Sumu! unachumia tumbo, posho ya magamba imekupofusha huoni jins inavyofanya kaz ya Propaganda ya ccm kwa kod zetu
 

Siku nyingine nitatumia lugha yako nisamehe kwa hilo.
 
You deserve a bhan you senior idiot .Una post 32 tena zte zimejaa nuharo wewe mburula unashusha heshima ya JF hata kama mnalipwa basi fanyeni kwa siri hapa ni eneo la great thinkers never sinkers cause ypu are sinking

Wewe kijana wewe!
Hapa kuna Great talkers no Great Thinkers seen, if not we are few among you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…