CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

umejitahidi kuandika vizuri kadri ya uwezo wako wa kufikiri. siwezi kukataa wala kukubali ulichoandika, lakini nadhani kwa taarifa ulizo nazo zingekuwa za msaada sana kama ungezipeleka sehemu husika na sio hapa. hicho kikundi kipo vizuri sana kama kiliweza kumfuatilia lissu na kumpiga sehemu salama kama pale na wakaweza kutokomea kusikojulikana. naomba uzipeleke taarifa hizi muhimu panapohusika, kadri ya uwezo wako wa kufikiri.
 
Nakubaliana na wewe moja kwa moja, uzuri majina umeyaweka wazi, na jeshi la police kila taarifa kwake ni muhimu sana, tunaanzia na taarifa yako kuchunguza
 
Mnaomba poo kwa mods?
Our country produces enough to feed us all. Alas, for lack of organization, we are forced to beg for food aid. It's this aid that instills in our spirits the attitude of beggars.

— Thomas Sankara
 
Kabisa lakini huu uzi unaendelea kuwepo mpaka saivi ingekuwa ni kuhusu magufuli sijui
Kuna kitu kwa Kiingereza kinaitwa irony. Unaweza kundika kitu lakini maana yake yakwa ni kinyume chake, nilifikiri mwenye akili yake amefahamu nimemkusudia nani kumnyooshea kidole
 
kabla lissu hajapigwa risasi sialisema kuwa kuna watu wanaomfuatilia na kutishia usalama wake "" hiyo serikali ilichukua hatua gani baada ya tamko la lissu"" ?? simpka leo wamekuwa watu wa blaaahh blaaaaah nakubariki vitendo vyao vya kishetani wanavyovifnya...."" kwahiyo yule akwilina nae aliuliwa na CDM....period
 
MICCM utadhani wayasemayo yanawatoka rohoni. Upuuzi ni kushabikia udikteta na madhara yake. Wako maccm hoi kabisa lakini haayachi kandika upuuzi. Jikomboeni toka utumwa wa kifikra .... ebo
 
Kadiri wanavyotumia propaganda za kikoromije kuhadaa watu,ndivyo wanavyozidi kujimaliza zaidi.Kama wayasemayo ni ya kweli,kwa nini serikali yao inayowatumia kuleta uzushi mitandaoni haitaki kuruhusu vyombo huru vya uchunguzi ili vije vifanye uchunguzi huru utakaobainisha wanaoendesha uharamia na mauwaji ya wasio na hatia?
 
Nadhani wangekuwa hao uliowataja serikali ingekubali haraka sana kuletwa wachunguzi kutoka nje
 
Kama ni kweli vyombo vya ulinzi na usalama in vilaza wasiwakamate mbona kutwa kujisifia kwamba wako macho labda kama hakipo nchini lakini kama kipo nchini basi kitapindua serikali yetu tukufu au ni hadithi za kusadikika
 
Kumbe yule Police alie piga risasi inayokunja kona nae ni Chadema mkuu!??[emoji15] [emoji15]
 
Najua sasa hivi mnahangaika na moderator kuhamisha hii post kama kawaida yenu.
kwanini usiwashauri serial wafanye uchunguzi huru ili mbowe aaibike kwa kuratibu mauwaji ndani ya nchi la sivyo utakuwa unapiga porojo tu
 
mbona swali rahisi huwa hamjibu - kama Lissu alipigwa risasi na viongozi wa Chadema kama unavyodai kwanini mlikimbilia kung'oa CCTV Camera za Site 3 Dodoma? Kwanini mnaogopa uchunguzi huru? Msitake tuanze kutembea na mawe mkononi kutafuta kichwa cha huyo mjinga wenu anayetamani kula nyama za Watanzania
 

Weka ushahidi hapa Kama ivyo CCTV camera zilikuwepo kabla ya tukio na siku zinaondolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…