Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Mbona mkiambiwa tuwaite Scotland Yard mnaruka majoka acheni majungu kila kitu mnacho nyie lumumba ila bado mnaweweseka ,time will tell tazameni wale waliokuwa kwa yahya jamer ndio mtajua dunia ni duara wewe ukielekea west mm nikielekea east tutakutata tu siku kwahyo mjiandaeHii ishu ni kweli kabsa....Mbo.we na Le.ma ni watu hatari sana...Inasemekana hata sasa WAMEISHAANDA kikundi fulani cha kufanya mchezo mchafau 26/04.....
Hivi hamjiulizi SERIKALI INAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAKAMATA KINA MBOWE tena kipindi amabcho kuna joto la maandamno haya ya kipuuzi mitandaoni???
UPIGWAJI WA LISSU LISASI ni mbo.we na le.ma ndio walio ratibu huu MCHEZO....Nani asiye jua LISSU ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa wachagga NDANI YA chadema AS WELL AS MUSTAKABALI WA uenyekiti wa MBOWE NA lowassa URAIS kuelekea 2020...
Kupotea kwa saanane ni hiki kikundi ndio kiliratibu huu mchezo kutoka kumtumia SANANE kumtukana RAIS magufuli mpaka kupotea kwa SAANE ni hwa jamaa wanahusika na ndio maana mpaka sasa wanatumia hili jambo kama AJENDA YAO KUU....ACHENI SIASA IITWE SIASA
Mauaji ya kiongozi wa chadema KINONDONI ni hawa JAMAA WALIRATIBU....
Kama ni kweli hayo unayoyasema kwa nini serikali inakataa uchunguzi huru wa matukio haya yote yasiyo ya kawaida. Jibu hili swali.
Ndugu uainivishe kilemba cha ukoka Mimi Raia mwema muumini wa siasa za ujamaa na kujitegemea pia mfuatiliaji wa siasa Kama mtanzania yeyote. Lakini nataka nikuambie wahalifu wote Chadema nawafahamu akina Henry Kilewo bado wana kesi yao Igunga na watakwenda kujibu tuNadhani Frey ni mtu muhimu yupo karibu na system, kwa andiko lako juu ya masibu ktk taifa ,unaaibisha sana taasisi zetu za nchi. Omba modes wafute ujumbe wako.Chapisho la kijinga sana.
Maarifa yapi? Hakuna Uhuru wa kufanya Siasa maarifa utayasikia sehemu gani? Ruhusu mikutano ya siasa uone maarifa mpaka utakosa pa kuyaweka.Eti huyu naye ni kiongozi wa upinzani? Jamani wapinzani wanahangamia kwa kukosa maarifa