Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
..."mkichagua upinzani kutatokea vita" Hakuna mgeni wa kauli hii, imekua ikitumika sana vijijini na ni silaha kubwa sana ya CCM.
Watu wengi wamekua wanaipigia kura ccm si kwakua wamepata maisha bora bali kuugopa hio vita. Kweli hata mimi ningekua mwoga ningekua siamini ktk siasa kama njia moja wapo ya kumkomboa mwananchi nisingepigia kura upinzani sababu ya hofu. MAANDAMANO YAMEZIDI JAMANI haswa haswa kwa chadema na yamekua yaki tu cost sana wanachama na wafuasi wenu labda ndo maana mh.zitto kabwe alilioona hili ndo mana ameamua kuachana na majukwaa, tumetangaziwa tarehe 10 ni siku ya civil dis-obidience ukitafsiri kwa kawaida ni siku ya wananchi kutokutii sheria js imagine watu wasitii sheria jus 4 1 hour itakuaje?
Hio siku wahalifu watatumia huo mwanya na chadema ndo itaonekana ni chama cha vurugu. Viongozi wa Chadema u hv to fight with words & ideals wananchi tuwaelewe kitu watu walichosikia jangwani ni wazanzibar hawakusurikishwa wengine watawapuuza (watanganyika) wakisema its not our problem lakini kuna mambo mengine mengi sana mmeyaacha.
I can simply say viongozi wa chadema wana hoja nzuri ila wanaugonjwa mmoja wa jazba, kweli tunaonewa bt lets find more diplomatics way kwani kuna wananchi wakisikia maandamano wanajua ni vita, HAKUNA MAANDAMANO YANAYOSIKILIZWA NA YENYE NGUVU KAMA YA WANANCHI WANAOANDAMANA BILA YA KUA NA UCHAMA.
Chadema 4 my advice nyie tupeni hoja sisi ndo tutaandamana ndo maana hata egypt kumtoa mubarak na morsi ilikua simple na jeshi lilitoa support kutokana na yale maandamano kua ya wananchi huru bila ya kuongozwa na viongoz wa vyama lakini sasa muslim brotherhood maandamano yao hayatafanikiwa kutokana na kuwa nyuma ya chama cha muslim brotherhood.
Ushauri wangu wabunge na viongozi wa chadema tafuteni ushauri kwa wasomi in your every movement kwani mko karibu sana na ikulu ila mkijiamini mno it will only be a histry kama ya NCCR ya Mrema.