Chadema na place of gold | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na place of gold

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kalunguine, Oct 18, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  naamini wazi katika majimbo ambayo upinzani unaota ndoto za mchana kuyanyakua ni pamoja na geita ambapo kuna roggers hapa geita mjini na tanganyika kule nyang'wale tukimuacha na yule wa busanda anayelala guest make hana kwao!

  rogers ni geologist na anafanya kazi GGM,aliwahi kufanya utafiti kuhusu madini ya dhahabu katika kijiji kimoja cha jirani na geita miaka michache nyuma na akaandika ripoti ya kuwaambia wazungu wawaondoe watz waliopo maeneo yenye dhahabu kazi iliyofanywa na askari wa mgodi usiku wa manane na watu wale mpaka leo wanaishi kwenye mahema katika ofisi za mtendaji nwa kijiji cha kalangalala,leo anataka ubunge eti awatetee wananchi,eti wamemuomba!! ili ukatumalize wachimbaji?
   
 2. m

  mosesk Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa vyovyote vile una matatizo ya akili!. Kuwa Geologist ni taaluma tu na wala haimfanyi yeye afukuze watu pale. Serikali ya CCM ndiyo imeiingia mikataba yote ya madini sasa unachofanya wewe ni kama mtu anayejificha kwa kutumia kijiti wakati mwili wote unaonekana. Ushindwe la ulegee , demokrasia lazima ichukue mkondo wake. Hatudanganyiki!
   
Loading...