Hakuna dhambi mbaya duniani kama kukata tamaa! Akina Mandela, Quatara, Sata wangekata tamaa, wasingefikia mafanikio waliyoyapata! Amka ndugu yangu. Leo unazungumzia ruzuku "kubwa" wanayoipata cdm huku ukitaka kuwatenga waliopigana hadi ikapatikana!? Tafakari mafanikio ya cdm halafu uwaweke mbele walioyafanikisha utajikuta umeachana na propaganda za kijinga zinazoenezwa na ccm! Sio kazi rahisi kwa chama kutoka wabunge 5 hadi 23 majimboni!
Mkuu ukweli huwa hauwagi outdated, labda kama haujui au unajifanya hujuipropaganda hizi zilishagonga mwamba we bado unaendeleza, wasiliana na wenzako wanaandaa zingine hizi za kwako hata usalama wa taifa wameshindwa ku-spin tena. ur outdated
SIMPLE MINDED as olwez...............kwahiyo ulichokipost wewe pale ndo ulifikiria hadi mwisho,huh,kuna haja ya kupima IQ za wana JF,usidhani kila mtu ni pro CDM humu ila kwenye fact ni fact tuacha upuuzi wewe, hauwezi kuzuia mawazo yangu. Mimi siongozwi na fikra za kitumwa kama wewe.
If you wish, call me "the man of his own Principle".
SIMPLE MINDED as olwez...............kwahiyo ulichokipost wewe pale ndo ulifikiria hadi mwisho,huh,kuna haja ya kupima IQ za wana JF,usidhani kila mtu ni pro CDM humu ila kwenye fact ni fact tu
dawa ya mpuuzi ni kukaa kimya tu................sidhani ka ntakujibu tena.Unaaaaaaaallllonawewe hapa umejitahidi kufikiria hadi mwisho wa upeo wako.
Your IQ is below the normal range. Take care.
Personally nashangaa sana watu makini kama Zitto, Mnyika, Mdee, Lema etc wanakubalije Chama kuwa na low Office kiasi kile pale kinondoni. Hivi na Office zao za Mbunge ziko kama ile ya pale Kinondoni!? Kwa miaka ile chama inaanza kweli tunaelewa lakini sio kwa sasa. Kama HQ iko vile unategemea huko mikoani na vijijini itakuwaje?
CDM Hakika you need to change. Vinginevyo mnatutia hofu pindi mkiichukua Nchi hata vilivyomo hamtoweza kuviboresha sembuse kuanzisha vipya.
Uhitaji kuhofu mwanzo mgumu............tutafika tu,maana CDM hakina source nyingine zaidi ya wananchi wapenda mabadiliko kama wewe...