CHADEMA na NCCR Mageuzi zakataa mwaliko wa Tume ya Uchaguzi, ACT Wazalendo bado wanatafakari!

Wasipoenda wanapata nini? Tabia za kususa ni tabia ya vitoto vilamba kamasi

USSR
 
Ni njia nzuri ya kutuma ujumbe, ila nashauri watumie hiyo fursa waungane pamoja waandae press ya pamoja kueleza sababu za kutokuhudhuria na nini kifanyike
 
Ni njia nzuri ya kutuma ujumbe, ila nashauri watumie hiyo fursa waungane pamoja waandae press ya pamoja kueleza sababu za kutokuhudhuria na nini kifanyike
Walishagoma tangu 2010 na goma bado ile ile

USSR
 
Back
Top Bottom