CHADEMA na mustakabali wa taifa

CHADEMA na mustakabali wa taifa

Mbona mbowe alishato msimamo kamati kuu tena ya nini?
...alikuwa anastua magamba,yakaingia kwenye reli alafu anamaliza...pipoooooozzzzz..!! powerrrrr...!!....
 
...hiyo ndo nakupa, hutaki acha.Nitajie kiongozi yeyote asiyetaja chadema kila anapopanda jukwaani...

CCM huwa wanaamini watabarikiwa kwa kulitaja neno CHADEMA....wengi wao wanaamini kuwa neno CDM linatenda kwa baraka za Mungu, wengine wana dhani ni nyota nzuri kwa hiyo hujitahidi kulisema ili waliibe....
 
Back
Top Bottom